Tuesday

BACK TO SCHOOL: CATCH THEIR ATTENTIONS (USAFI MUHIMU)

KUNA MAMBO MENGI AMBAYO NI MADOGO MADOGO YANAWEZA KUKUKOSESHA SIFA ZA KUWA MAWANAUME KAMILI, HIVI INAKUWAJE UNAJIITA MWANAUME RIJALI ALAFU UNAKUCHA NDEFU AMBAZO HAZIJASAFISHWA? MARA NYINGI TUMEKUWA TUNAITWA MAJINA MBALIMBALI YA KEJELI KUTOKANA NA VIMAKOSA VIDOGO VIDOGO TUNAVYOVITENDA BILA YA KUJUA... HIVI UNAMKUMBATIAJE MKEO AU MPENZI WAKO NA KUMPAPASA MWILI HUKU UNA KUCHA NDEFU?  KUCHA NDEFU NI ASILI YA UCHAFU.... JITAHIDI KUKATA KUCHA ZAKO ILI KUWA NA MWONEKANO WA KIUME... UKIFUGA KUCHA UNAJIPATIA SIFA MBAYA KAMA SHOGA, MUUZA UNGA AU WALE MASELA WAKIZAMANI.. MAISHA YA SASA KIJANA MTANASHATI HUPASWI KUWA NA SIFA HIZO

KILA MWANAUME ANAPASWA KUWA NA SETI HII YA USAFI MDOGO MDOGO WA KUCHA NYUMBANI KWAKE MAANA SI WOTE TUNAOWEZA KWENDA SALOON NA KUSAFISHWA KUCHA

 BAADA YA KUWEZA KUWEKA KUCHA ZAKO VIZURI.. UNAPASWA KUZINGATIA USAFI WA NYWELE, NGOZI NA MENO... HIZI NI SILAHA MUHIMU KWA MWANAUME YOYOTE, CLAEN SHORT HAIR, NICE SKIN TONE WITH SWEET SMILE ON YOUR FACE WITH CLEAN TEETH UTASHINDWAJE KUMPATA YULE MWANAMKE WA NDOTO ZAKO? UTAWEZAJE KUMPOTEZA MKE WAKO ULIKAA NAE KWA MIAKA MINNE SASA TANGU MUOANE??
KWA USHAURI WA BURE... MIMI NAAMINI NYWELE FUPI ZINAMPENDEZA MWANAUME YOYOTE YULE... NA NIVIZURI KUNYOA NYWELE ZAKO KILA BAADA YA WIKI MBILI... KUHAKIKISHA ZINAKUWA KATIKA MWONEKANO MZURI MUDA WOTE, KAMA WEWE NI MTU MWENYE NYWELE KIPILIPILI KAMA MIMI WEKA WEVU KIDOGO TU ILA ISIKOLEE SANA.. LAINISHA TU NYWELE ILI IWE RAHISI KUZICHANA.

UKIMALIZANA NA SWALA LA NYWELE... YOUR SMILE WILLSPICE YOUR DAY AND YOUR LOVED ONES... MAKE SURE U GOT CLEAN TEETH.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie