Tuesday

WEMA SEPETU...FINALY ON TWITTER

FORMER MISS TZ WEMA SEPETU..... AMUA KUJIUNGA NA MTANDAO WA JAMII WA TWITTER KWA KUPITIA JINA LA @wema_sepetu. ANASEMA KILA MTU AMEKUWA AKIMWAMBIA AJIUNGE NA TWITTER KWANI HII NI NJIA MOJA WAPO YA KUFIKIA MASHABIKI WAKE NA KUKUTANA NA MAMBO MENGI AMBAYO YATAMJENGA... ANAAMINI SOCIAL NETWORK ZINA FAIDA NA HASARA ZAKE LAKINI KWAKE ATAANGALIA FAIDA ZAIDI.... HAYA LETS FOLLOW HER NOW @wema_sepetu

1 comment:

  1. Nipoa kujiunga twira mdada!, hv 5ny job n kumbuka maadili ye2 yakiTZ pia! Lov u cster

    ReplyDelete

sema tukusikie