Wednesday
FAKE ENGAGEMENT: WEMA SEPETU AND MWINYI AHMED
Tuesday
Monday
NOLLYWOOD DIVAS KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA KATIKA SIKU KUBWA YA WEMA SEPETU NEXT MONTH
Wednesday
WEMA SEPETU SHE IS ONLY ON TWITTER NO MORE FACEBOOKING
INTRODUCING THE NEW Wema sepetu UNDER ENDLESS FAME MANAGEMENT YA MARTIN KADINDA... HUU NI MUONEKANO WAKE MPYA.... SHE IS DRESSED AND STYLED BY MARTIN KADINDA, MAKE UP BY SAADAH AND PICTURE WAS TAKEN AT I-view media... ujumbe wa wazi kwa mashabiki na rafiki wa wema sepetu.. kwa hivi sasa Wema Sepetu hatumii account yoyote ya Facebook hizo mnazoziona ni Feki, msiibiwe wala kudanganyika... Just follow her on twitter kwa @wema_sepetu anapatikana twitter tu |
Monday
Saturday
WEEKEND SPECIAL KWA WAMAMA: HAPPY MOTHER'S DAY
Friday
VIPANDIKO HAVITOKI KATIKA CHART
Wednesday
SINGLE BUTTONS WILL CHANGE YOUR LOOK
UTAJIITAJE MSICHANA AU DADA WA KILEO KAMA UNASHINDWA KUSUPPORT KAZI ZA WATANZANIA WENZIO? KABATI ZIMA LIKOSE SINGLE BUTTON HATA MOJA KUTOKA KWA MARTIN KADINDA?? HOLAAAAAA AND GET YOUR |
Monday
Saturday
HII IMENIUMIZA: LULU MICHAEL NI MDOGO WANGU
NIMEJUANA NA LULU YAPATA MIAKA MITANO TOKA TUKIWA SHULE WAKATI ANAANZA FORM ONE NA MIMI NIKIWA FORM 6 PALE PERFECT VISIO HIGH SCHOOL. KWA KIPINDI CHOTE LULU AMEKUWA MDOGO WANGU NA MTU WA KARIBU AMBAYE MARA NYINGI AMEKUWA AKINIHUSISHA KATIKA SWALA LAKE IKIWEPO UBUNIFU WA COVER YA MOVIE YAKE IITWAYO "FOOLISH AGE" HII NI KUTOKANA NA KUNIAMINI KWAKE NA MIMI PIA KUMWAMINI NA KUMWEKAA KARIBU YANGU NIKITAMBUA KUWA NI MSICHANA MDOGO MWENYE NDOTO NA MALENGO NA MAISHA YAKE...HILO LILINIFANYA NIMWONE NI ZAIDI YA RAFIKI KWANGU KWAKUWA NILIKUWA NAMLEA KATIKA MAZINGIRA YA KUMUONESHA NJIA ILIYO SAWA.. NASIKITIKA SIKU MOJA KABLA YA KUKUMBANA NA HILI BALAA ALILONALO ALIKUJA OFISINI KWANGU AKIHITAJI NIMSHAURI NINI AVAE KATIKA KILI MUSIC AWARDS.. ALINIAMBIA MARTIN NATAMANI SANA KUONEKANA TOFAUTI, NATAKA NISIVAE MAVAZI MAFUPI KAM AWALIVYONIZOEA WATU, MIAKA INAENDA NA NAPASWA KUJITAMBUA KAMA MIMI SASA NI DADA NA NINA WATU WANAONIANGALIA KAMA ROLE MODEL WAO. KUSEMA KWELI NILIFARIJIKA NIKITAMBUA LULU AMEKUWA NA AMEONA MBALI..... NINGEPENDA WATANZANIA WENZANGU NA WADAU WENZANGU WA BURUDANI KUTAMBUA LULU NI MSICHANA MCHESHI, MUWAZI NA MWENYE ROHO YA HURUMA, LULU HAJAJALIWA UCHOYO WA MAENDELEO..... MAGAZETI NA VYOMBO VYA HABARI VIMEANDIKA MAMBO MENGI KUHUSU LULU LAKINI MIMI NIMJUAVYO NI ASILIMIA 10 KATI YA 100 YANAWEZA KUWA NI KWELI.... HII NI VILE NIONAVYO MIMI, SIDHANI KAMA KUNA MTU NAWEZA KUBISHANA NA KILE NIKIONACHO MIMI KWAKUWA KILA BINADAMU ANAMTIZAMO WAKE NA HUO NDIO WANGU.
KILICHONIFANYA KUANDIKA HAYA YOTE NI HABARI AMBAYO IMEANDIKWA NA VYOMBO VINGI KUWA NIMESEMA LULU NI MJAMZITO WA MIEZI MITATU, HIVI KWELI MARTIN KADINDA KABADILIKA KUWA DAKTARI LEO HII WA KUWEZA KUJUA UJAMZITO UNAMIEZI MINGAPI? SIKU ZOTE NIMEKUWA NIKIMTANIA LULU KUWA ANATASHIKA MIMBA NA WATU HAWATAJUA KUTOKANA NA KUWA NA KITAMBI AMBACHO MWENYEWE ALISEMA NI CHA MAFUTA YA VINONO ANAVYOKULA, AKANIAMBIA HUWEZI UKAJUA LABDA NINAYO? HAYO NI MASIHARA AMBAYO MARA NYINGI TUMEKUWA TUKITANIANA KWAKUWA ALIKUWA ANAJUA NACHUKIA SANA MSICHANA MWENYE KITAMBI.. NAHESHIMU KAZI YA KILA MTU UNAWEZA KUKUTA KATIKA MAZUNGUMZO YANGU NA WATU WA KARIBU NIMEWAHI KUROPOKA JAMBO HILO AU SIJAWAHI PIA ILA KUTOKANA NA UKARIBU NILIONAO NA HUYU MTOTO HABARI IKAANDIKWA... SIWEZI KUTOA HABARI YA MTU BINAFSI TENA ISIYONIHUSU KWA MWANDISHI WA HABARI NA NINGEPENDA IWEKE WAZI KUWA NI MANENO YALIYOSIKIKA NDO HABARI IKAANDIKWA LAKINI SIO MARTIN KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.... UKITAKA KUNIAMINI NIAMINI NA USIPOTAKA PIA SIKULAZIMISHI...

WEMA SEPETU AT STUDIO.. KATIKA UHAMASISHAJI WA KUCHANGIA MATIBABU YA SAJUKI
USIKU WA KUAMKIA JANA.. MUIGIZAJI NA MREMBO WA TANZANIA WEMA SEPETU AMEINGIA STUDIO KUIMBA NYIMBO YA MBONI YANGU AMBAYO NI MAALUMU KWA AJILI YA KUHIMIZA UCHANGISHAJI WA FEDHA ZITAKAZO MWEZESHA SAJUKI KWENDA KUTIBIWA NCHINI CHINA... ZAIDI YA KUINGIZA PIA WEMA SEPETU AMETUA FEDHA AMBAZO ZITAONGEZEWA KATIKA SAFARI YA MSANII SAJUKI.
JE UNAJIULIZA WEMA ANAKIPAJI CHA KUIMBA?? KUPATA JIBU DOWNLOAD NYIMBO HII AMBAPO UTAKUWA UMEMCHANGIA NA KATIKA CHORUS YA KWANZA UTAMSIKIA MTOTO WEMA SAUTI YAKE SI UNAIJUA?? LEGOOOO |