Sunday

23rd JUNE 2012.... Wema Sepetu Glittered Night features TANZANIAN MUSIC DIVAS

KWA MARA YA KWANZA DIVA WA FILAMU TANZANIA WEMA SEPETU ANAFANYA ONYESHO LAKE AMBALO LITAHUSISHA WANAMUZIKI WA KIKE WANNE WANAOFANYA VIZURI HIVI SASA KATIKA MUZIKI PAMOJA NA MCHEZA FILAMU MAARUFU KUTOKA NIGERIA.. NI NANI? PITA PITA PITA HAPA

2 comments:

  1. Anonymous02:25

    Embu Martin kama manager tupe habari za uhakika kuhusu nyumba ya bosi wako mbona mnatuchanganya pliz sitaki kuamini kama mnaweza kutudanganya fanya mpango wa kutuhakikishia wanaongea sana banaa

    ReplyDelete
  2. Anonymous06:13

    Listen martin kama ni special invitations msitutangazie coz there is no need of that ......we r her true fans mind u

    ReplyDelete

sema tukusikie