Friday

NITAKUHADITHIA VIZURI SIMULIZII HII INAYOMUHUSU WEMA SEPETU KWA PICHA...

KAMWE HUWEZI KUKOSEA KATIKA SHUGHULI YAKO MWENYEWE.... SHE IS WEARING CL... WATAALAMU WA VIATU NAJUA MNATAMBUA NAMAANISHA NINI HAPO.

PICHA NI NYINGI SANA... NAKUSANYA ZILIZO KICK.. WALIPANIA ZAIDI NA WALIOHARIBU ZAIDI.. MATUKIO MUHIMU AMBAYO HUJAYAONA POPOTE NA EXCLUSIVE ZA WHY IMEKUWA HIVI ILIVYOKUWA.

Thursday

YEEEES NI OMOSEXY- OMOTOLA JALADE FOR WEMA SEPETU FAMILY DAY AT GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL 24TH JUNE 2012

AKIWA NI MAMA WA WATOTO WATATU, MWIGIZAJI NA MWANAMZIKI PIA... HUYU NI OMOSEXY... OMOTOLA JALADE.


HIZI NI BAADHI YAFILAMU ALIZOFANYA VIZURI OMOTOLA JALADE.


Tuesday

HAIJALISHI TOFAUTI YA UMRI.. HUYU NDIO ROBERT EVANCE ANAYEMNYIMA TYRA BANKS USINGIZI

WAKIWA WAMETOFAUTIANA UMRI KWA MIAKA 14 LAKINI TYRA BANKS AMEONESHA KUTO KUJALI HILO NA KUENDELEA KIJIRUSHA NA KISINGLE BUTTON CHAKE HIKI AMBACHO KWA SASA AMEKIFANYA JUDGE WA ILE CIRCLE YA 19 YA AMERICAN NEXT TOP MODEL.

ROBERT EVANCE AMBAYE NI MODEL MWENYE UMRI WA MIAKA 24 KWA SASA AMEONEGANA KUNOGEWA NA PENZI LA MAMA HUYU MWENYE MAFANIKIO ZAIDI KUPITIA MITINDO.. KATIKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI.. WADAU WENGI WA MITINDO MAREKANI WAMEKUWA WAKIJIULIZA... TYRA AMEKUWA NEW JENNIFER LOPEZ? MAANA JENNIFER LOPEZ HAONI AIBU KUJIINGIZA KATIKA MAPENZI NA VIJANA WADOGO.
HAYA SASA..... HABARI ILIYOPO NDIO HIYO.



Monday

MEAGAN GOOD IS MARRIED??? "OMG" I LOOOOVE THIS WOMAN

MEAGAN GOOD MMOJA WA ACTRESS WA HOLLYWOOD AMBAO NIWAPENDAO.. THIS WEEKEND AMEFANIKIWA KUFUNGA NDOA... PICHA CHINI HAPO.




ENDLESSFAME MANAGEMENT BY MARTIN KADINDA YAITOA KIMASOMASO MISS DAR CITY CENTER 2012

MISS DAR CITY CENTER KWA MWAKA HUU ILIANDALIWA NA ALLURE INTERNATIONAL NA DEAL LA KUFANYA MANAGEMENT YA THE WHOLE EVENT ILIKABIDHIWA MIKONONI MWANGU CHINI YA KAMPUNI YANGU YA MANAGEMENT #ENDLESSFAME MANAGEMENT. HAO JUU PICHANI NI WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUINGIA TANO BORA.

WEMA SEPETU KUTOKA ENDLESSFAME MANAGEMENT NDIO ALIYEULIZA MASWALI WASHIRIKI WA ONYESHO HILI.

BURUDANI ILITOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ, RECHAL NA TWANGA PEPETA.. NILIJARIBU KUCHANGANYA FLAVA MBALI MBALI ILI KUNOGESHA ONYESHO LANGU.

CHIEF JUDGE AKIJADILI JAMBO NA MAJAJI WENZIE.. SHUKURANI ZA DHATI KWA SHAMIMU MWASHA WA 8020 KWA KUKUBALI KUWA JUDGE PIA KATIKA ONYESHO HILI.

DIAMOND KAMA KAWAIDA YAKE.. WAREMBO KWA SANAAAAAA.

ALEXIA WILIAM.. MREMBO WA MISS DAR CITY CENTER ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

HATIMAYE MSHINDI AKATANGAZWA.

HUYU NDIO MISS DAR CITY CENTER 2012.

#ENDLESS FAME BAAAAAAAAABY, MAN HIMSELF, MASTER OF THE CELEMONY BDOZEN

Sunday

23rd JUNE 2012.... Wema Sepetu Glittered Night features TANZANIAN MUSIC DIVAS

KWA MARA YA KWANZA DIVA WA FILAMU TANZANIA WEMA SEPETU ANAFANYA ONYESHO LAKE AMBALO LITAHUSISHA WANAMUZIKI WA KIKE WANNE WANAOFANYA VIZURI HIVI SASA KATIKA MUZIKI PAMOJA NA MCHEZA FILAMU MAARUFU KUTOKA NIGERIA.. NI NANI? PITA PITA PITA HAPA

Tuesday

NAWACHUKIA WAMILIKI WA SALOON HASA ZA KIUME.

SINA NIA MBAYA KWA KUANDIKA KICHWA CHA HABARI NILICHOANDIKA ILA NIMEKUWA NIKIKASIRISHWA SNA NA HUDUMA NINAZOZIPATA PINDI NIENDAPO KATIKA SALOON MBALI MBALI, HII HAIJANITOKEAPEKE YANGU LAKINI KWAKUWA NINA NAFASI AMBAYO INANIWEZESHA KUONGEA NA KUSIKIKA NA WATU WENGI. NAWEZA KUANZA KWA KUSIFIA KWA MAPOKEZI MAZURI TUNAYOPATA TUKIFIKA... HILO MNAHITAJI PONGEZI.


KIMBEMBE KINAANZA PALE NINAPOHITAJI KUNYOLEWA.... MARA NYINGI SINA TATIZO HAPA NAPO JAPO NIKIHAMA SALOON NA KWENDA KWENYE SALOON NYINGINE MARA NYINGI VINYOZI HUWA HAWANA UBUNIFU WA KUMNYOA MTU KULINGANA NA KICHWA CHAKE.... WANANYOA BORA MRADI WAMALIZE KAZI NA UWALIPE.. SASA NAJIULIZA NYINYI WAMILIKIWA HIZI SALOON HUWA MNANYOA HAPA HAPA? MANAZIONA KASORO TUNAZOZIONA WATEJA WENU? KWANINI MSITAFUTE VIJANA WENYE UBUNIFU NA UWEZO WA KUNYOA VIZURI? MAANA MIMI NIKINYOLEWA VIBAYA.. WIKI YANGU YOTE HUWA INAKUWA MBAYA.

BAADA YA KUNYOLEWA KUNA HUDUMA MBALI MBALI HUWA ZINATOLEWA KAMA FACIAL STEAMER NA SCRUB... WALE WASICHANA WANAOTOA HUDUMA HII NDO HUWA WANANICHEFUA ZAIDI, SIJUI NDIO WAMEKARIRISHWA KILA MTU ANAHITAJI SCRUB.. MBAYA ZAIDI HAWAJUI KUANGALIA NGOZI YA MTU... SCRUB MOJA WALIONAYO NDIO HIYO WATEJA HATA 40 MTATUMIA.. HAWAJALI KAMA NGOZI YAKO NI KAVU AMA YA MAFUTA... WANAKUPAKA... JITAHIDI KUWA NA WATAALAMU WA NGOZI AMBAO WATAKUWA WANAWASHAURI WASICHANA AINA YA SCRUB YA KUMPAKA MTU.. MKIWA NA MSHAURI  WA NGOZI NI RAHISI KUHAKIKISHA NGOZI ZA WATEJA WENU HAZIHARIBIKI KWA UBOVU WA HUDUMA ZENU...WASICHANA MLIKUWA NAO KATIKA HIZI SALOON ZENU HATA COURSE YA SALOON HAWAJAWAHI KUSOMA IWEJE LEO AHANGAIKE NA NGOZI YANGU?? MNANIKERA SANA NDUGU ZANGU. NA OLE WENU NIJE TENA MNIPAKE HIYO APRICOT YENU.


BAADA YA MTITI HUWA MARA NYINGI HUWA WANAKUWA NA VITAMBAA FLANI AMBAVYO WANATUFUTIA USONI.....HICHO KITAMBAA KIMEFUTIA WATU WANGAPI TOKA ASUBUHI? YAANI NIKIINGIA SALOON MWILI HUWA UNANISISIMKA MAANA HUWA NAHISI KUCHANGANYIKIWA.


Monday

NYUMBA YA MILIONI 400 INAYOMILIKIWA NA WEMA SEPETU

INA SEBULE MBILI... MOJA MABYO NI TV ROOM NA YA PILI NI SITTING ROOM.. HII JUU NDIO TV ROOM NA CHINI NI SITTING ROOM

CHUMBA ANACHOLALA WEMA SEPETU.. NIMEKUTANA NA DRESSING TABLE MBILI... MASSAGE CHAIR PAMOJA NA MINI SALOON
ANACHUMBA PEMBENI AMBACHO NI KWA AJILI YA VIATU NA NGUO.. MINI HOUSE WARDROBE ROOM

ANASEHEMU MAALUM YA KUFANYIA INTERVIEWS NA MEDIA HOUSE MBALI MBALI KAMA UMUONAPO HAPO PICHANI AKIFANYA INTERVIEW NA ZAMARADI



THIS IS A SMALL SET UP FOR INTERVIEWS WITHIN HER HOUSE.



KAZI YANGU KAMA MENEJA NI PAMOJA NA KUHAKIKISHA MSANII WANGU ANAISHI MAISHA YA KIFAHARI KAMA AMBAVYO MASTAA WANAISHI.

Saturday

GRAB YOU COPY NOOOOOOOOW: TEENSPOT


SINGLE BUTTON BY MARTIN KADINDA FEATURED.

EVERYONE HAS HIS/HER OWN FAVORITE DRESS.... HOPE THIS IS RIO'S

FIRST WAS AT LADY IN RED FASHION SHOW FEBRUARY THIS YEAR.

SECOND: WAS AT CLOUDS TV EXCLUSIVE FASHION POLICE SHOW, EARLY APRIL

AND THIS WAS LAST WEEK ON HIS INTERVIEW AT TIMES FM....SAME BLAZER