![]() |
| WEMA SEPETU KUTOKA ENDLESSFAME MANAGEMENT NDIO ALIYEULIZA MASWALI WASHIRIKI WA ONYESHO HILI. |
![]() |
| BURUDANI ILITOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ, RECHAL NA TWANGA PEPETA.. NILIJARIBU KUCHANGANYA FLAVA MBALI MBALI ILI KUNOGESHA ONYESHO LANGU. |
![]() |
| CHIEF JUDGE AKIJADILI JAMBO NA MAJAJI WENZIE.. SHUKURANI ZA DHATI KWA SHAMIMU MWASHA WA 8020 KWA KUKUBALI KUWA JUDGE PIA KATIKA ONYESHO HILI. |
![]() |
| DIAMOND KAMA KAWAIDA YAKE.. WAREMBO KWA SANAAAAAA. |
![]() |
| ALEXIA WILIAM.. MREMBO WA MISS DAR CITY CENTER ALIYEMALIZA MUDA WAKE. |
![]() |
| HATIMAYE MSHINDI AKATANGAZWA. |
![]() |
| HUYU NDIO MISS DAR CITY CENTER 2012. |
| #ENDLESS FAME BAAAAAAAAABY, MAN HIMSELF, MASTER OF THE CELEMONY BDOZEN |










Sorry hiyo endless ni yako ama ya wema hatuelew unavyosema by wewe badala ya kusema under wema mbona waifanya kama yako ndugu sijapenda
ReplyDelete