Thursday

SINTA(JLO WA BONGO): ADENDEKA LIVE NA CHARLES BABA, BENNY KINYAIYA NA NYOSHI

YULE ACTRESS ALIYESHIKA CHAT KWA MIAKA MICHACHE YA NYUMA SINTA MINONGI AMERUDI TENA KATIKA SOKO LA FILAMU KWA KASI YA AJABU HUKU AKIWA NA PROJECT YAKE MWENYEWE.. KATIKA UPIGAJI WA COVER ZA FILAMU HIYO NILIMFUMA MWANADADA HUYU AKIDENDEKA LIVE BILA SHAKA.

NILIONA NI VYEMA ENDAPO NIKIMUULIZA MACHACHE KUHUSU HILI LA KUNYONYANA LIVE NA WASANII WENZIE.... ? AKACHEKA SANA NA KUNIAMBIA.... MARTIN NI MASWALI GANI HAYO UNANIULIZA? KWANI CHA AJABU HAPO KIPI? TUNGEKUWA TUMEBADILISHANA MATE YAANI ILE DEEP KISSING NDO INGEKUWA KITU CHA AJABU.. ILA PALE TUMEGUSANISHA TU LIPS NA NIKITU CHA KAWAIDA KATIKA UIGIZAJI KWASABABU NALETA UHALISI KWA KILE NINACHOKIIGIZA...  KWANZA WE ULISEMA TUPIGE PICHA ZENYE KUONESHA HISIA ZA MAHABA.. KWAHIYO NAKUSHANGAA UNAPONIULIZA HILO SWALI... WE JIANDAE KUNUNUA MOVIE YANGU YA THE RETURN OF JLO SOON UONE NILIVYOWAFUNIKA WASANII WANAONG'ANG'ANIA FANI HUKU MIMI NDO DADA YAO



3 comments:

  1. Anonymous15:28

    jamani kupendwa ni bahati lakini sintah bahati ya kupendwa una kifupi sikufagilii

    ReplyDelete
  2. Sijui kama wa tanzania tunajua hizi biashara za kuhusu midmorning unaweza kupata maambukizi ya cold sores kwenye midomo. Tuwe waangalifu.

    ReplyDelete
  3. Anonymous00:51

    jamani anonymous 15:38 mbona Juma nature alimpenda umesahau.lol

    ReplyDelete

sema tukusikie