Friday

DAR FASHION FESTIVAL: KUNANOGAJE SASA..........

ARE YOU THAT FASHIONISTA??? SASA ITAKUWAJE ENDAPO UKIKOSA THIS FESTIVAL... UNAPATA NAFASI YA KUSHOP KATIKA MADUKA MAKUBWA YA MAVAZI NA ACCESSORIES HAPA MJINI, UNAKUTANA NA WABUNIFU MAHIRI NA WENYE KUTOA KAZI ZAO KATIKA UBORA UNAOTAKIWA...... NI SIKU YA EID... HUU NDIO MTOKO PEKEE KILA MDAU WA FASHION ANAPASWA ASIUKOSE.. AMBAPO KWA MARA YA KWANZA VIBUNDUKI UTAKUTANA NAVYO LIVE JUU YA STAGE... USINIULIZE ZAIDI ILA PIGA SIMU KUBOOK YOUR TICKET

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie