Monday

I JUST CREATED MY OWN HEAVEN OF DAR ES SALAAM AND I CALL IT "MANHATTAN YA SINZA"





















the OFFICIAL DRINK AT MY MANHATTAN YA SINZA NI MANHATTAN ICE TEA

6 comments:

  1. Anonymous11:37

    Hongera Sana

    ReplyDelete
  2. Anonymous03:34

    Samahani, twaeza jua kitanda kama hicho chapatikana wapi? sorry, nime assume ni vile vya chuma. nimekuwa natafuta vya aina ile vinatengenezwa wapi vizuri vyenye ubora. kama sio vile vya chuma basi, unless unaweza kunisaidia kunielekeza vile vinakopatikana vizuri. muntobrigado!

    ReplyDelete
  3. Anonymous08:13

    This is very nice ,, inafanya mtu anakaa mazingira safi hapa umekuwa mfano bora nadhani vijana wengine watafata huu mfano

    ReplyDelete
  4. Anonymous05:02

    NYAU WE HIYO NDO MANHATTAN HUKO KWENU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous03:28

      mdau mbona una wivu namna hiyo? amesema hii ni manhattan yake, na ili kujua kama kweli amefanikiwa kuonyesha kitu hadi haters kama wewe ukajikuta una m challenge, NI KIPIMO TOSHA. amejitahidi vijana wengi show off nyingi, (wa kike na wakiume) huko barabarani na sehemu za starehe, wengi wanpoweka mbavu zao ni kinyaa..yani huwezi hata amini! hongera martin,pasafi, simple and yet stylish. NANI KANUNAAA? MWENYE WIVU AJINYONGE.

      Delete
  5. Anonymous10:09

    Safi sana kijana...Haya ndo mambo yamaana..cyo wengine kuuza sura tu...Jengeni huko hata chumba kimoja na choo ni hatua..

    ReplyDelete

sema tukusikie