looks like we gat something to watch from these girls... its a movie by the way not series.. inajulikana kwa jina la LAP DANCE... stori ya msichana anayeamua kuwa stripple ili kuweza kumuhudumia baba yake mzazi.. kama mtakumbuka stacey hakuwepo kwenye season 2 ya single ladies kutokana na kuhitilafiana na Lisaraye lakini leo hii wamekutana tena kwa one film.. am so excited about this. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie