Monday
SAFIIIIIIIIIIIIII: BADILISHA MUONEKANO WAKO
NI MUHIMU SANA KUTAMBUA RANGI NA MUONEKANO WA MWILI WAKO ENDAPO UTAVAA JEANS ZA AINA HII YA KUBANA KIDOGO.. MARA NYINGI ZINAWAFAA WATU WEMBAMBA KWAKUWA ITASHIKA MAENEO MUHIMU YA MAUNGO YAO.... KUWA HURU KUVAA JEANS YA RANGI TOFAUTI NA BLUE AU NYEUSI TULIZOZIZOE.. POKERDOTS WILL COMPLETE YOUR LOOK IN A BEST WAY
Saturday
USHAURI: ARE YOU GOING OUT FOR A DATE?
![]() |
UNATAKA KUONEKANA MSICHANA WA KAWAIDA USIYEPENDA MAKUU... HII MAXI SKIRT ITAKUFAA, |
![]() |
Look three has that boyish feel about it. At the same time, it’s elegant and modern. If the weather is cold, wear a pair of dark |
SAFIIIIIIIII: KIM KARDASHIAN CASUAL LOOK
HONESTLY I DONT LIKE KIM KARDASHIN BUT HER LIFESTYLE MAKES ME FALL IN LOVE WITH HER
THE LOOK THAT I LOVE
Friday
Thursday
{HUU NDIO MSIBA WA JACKIE CLIFF}FROM WEDDING PLANNER TO FUNERAL PLANNER WA JACKIE CLIFF
![]() |
JACKY CLIFF MRS TEEF.......... |
![]() |
HII NDIYO GARI ANAYOTAMANI IMPELEKE ENEO LAKE LA MAPUMZIKO MPAKA SIKU YA HUKUMU.... |
KWA WALE WANAWAKE WENYE MATATIZO YA MIGUU WASIWEZA KUVAA VIATU VIREFU MUDA MREFU HIKI NI KIATU ANGEPENDA MVAE, ANATAKA MSIBA WAKE UWE WAKIPEKEE |
![]() |
LIPSTICK YA PINK KWA WAUZURIAJI WOTE ITAFAA ZAIDI ANASEMA.. ANAPENDA PINK BASI MMUENZI MWANAMKE MWENZENU KWA KUPAKA KILE APENDACHO.... |
![]() |
KWA KUTAMBUA URAFIKI MZITO ALIONAO NA MAID OF HONOR WAKE BELINA TYRA MGENI, ANAOMBA NDIO ATENGENZE SARE ZA WAOMBOLEZAJI WAKIKE KWAKUWA BELINA KWA SASA AMEJIINGIZA KATIKA UBUNIFU NA ANAMWAMINI |
![]() |
NIMEKAA NAFIKIRIA SIKU HIYO ITAKUWAJE? NIKITANGULIA MIMI JE? NANI ATAIFANYA HII SHUGHULI MAANA NI NZITO........ |
Wednesday
NAKUMBUKA: MARCH 2012 NILIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA NGORONGORO CRATER
![]() |
NILILALA SERENA SOPA LODGE... USIKU NI MILIO YA WANYAMA PORI.... INATISHA ILA INATIA RAHA.. UKITOKA NJE UNAWEZA KUKUTANA NA NYATI MBELE YAKO.... |
![]() |
WITH JESSICA LUJWA............. I TRULY LIFE THIS DAYS... |
Subscribe to:
Posts (Atom)