FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

wadau tunapokutana katika Red Carpets


Zungu and Neema during Lady in red Fashion Show


Red carpet during Redds night of Unique and stylist!!


Steped in a Red carpet during Asia's Lady in Red fashion show


Met mama wa Tanzania mitindo house

11 comments:

  1. Anonymous13:53

    Samahani ndugu yangu kama ntakuudhi najaribu kutafuta maneno ambayo si makali yani hujui kuvaa kusema ukweli,hakuna siku uliyovaa nikasema umependeza.Wewe mwanamitindo lakini ni kama unakurupuka kutoka kwenye kitanda.Jiangalie kwenye hiyo picha ya red carpet yani hapana kabisa,hiyo ya red in red kama unamsindikiza mtu!!!samahani kama nimekukera ama kukuudhi lakini huo ndio ukweli.Jitahidi kuvaa wewe ni mwanamitindo.Mwisho wa siku ni mawazo tu.
    So Much

    ReplyDelete
  2. Anonymous04:31

    kijana unauza sana na uko juu zaidi ya air force one keep it up n dont let majugnu ya kushushechini just ignor them u do ur things. but always mungu ndio awe msaada wako sikuzote....

    it Willium Kelvin

    k/nyama.....................

    ReplyDelete
  3. Thank You for the great advice.... U made my day lol.. but remember wote hatuwezi kuwa sawa,

    ReplyDelete
  4. Anonymous02:32

    i know dat but we try to corp with them in any means

    says
    Willium Kelvin

    ReplyDelete
  5. Anonymous08:44

    mmmmh i like ur combination of ur blue and black umetisha mzazi. yunus mwakisu

    ReplyDelete
  6. Anonymous01:13

    hebu wewe uliyesemaaa he doesnt lok smart evr in red carpet hebu ukuje ww 2kuone!s kusemanga wa2!!dont hate apriciate lol!!

    ReplyDelete
  7. Anonymous06:02

    Wabongo bwana hampendi kuambiwa ukweli suala sio lazima wote tuwe sawa bali tuanrekibishana na kujitahidi kubakilika kadri unavyoweza, hivyo chukua ushauri uliopewa na ubadilike sio ukubali sifa za uongo. red carpet sandals wapi na wapi km waenda beach vile.... hapo umiangusha. Ukitaka chukua ukitaka ipotezeee. All in all nakutakia kila la heri ktk fani

    ReplyDelete
  8. Swadktaaaaaaaaaaaa!! ni mwanzo tuu.. sema sema ndugu yangu.

    ReplyDelete
  9. Anonymous09:44

    watanzania hatuwezi kuendelea kamwe maana hamuwezi kuona jambo na kuliona sawa!! kwani akivaa sandals wewe unaumia nini si na wewe uvae utoke tukuone?

    ReplyDelete
  10. Anonymous10:24

    Ha ha ha ha Oooooh lord unajua tuache kuwa negative kwa kila kisemwacho.Mimi ni huyo jamaa wa kwanza alisema jamaa hajapendeza sikumwambia kwa ubaya lakini huo ndo ukweli.Unajua ni lazima kukubali challenges kwenye maisha sawa?!jamaa nampa ushauri anasema "u made my day lol....but remember wote hatuwezi kuwa sawa"sijazungumzia usawa nimezungumzia kubadilika kuendana na mazingira lakini mwisho wa siku uamuzi anao muhusika nashkuru angalau amesema "Thank You for the great advice" .Naomba kabla ya kutoka jiulize ntapendeza nikivaa hivi?!.
    Wewe uliyesema nije,umenichekesha coz nnachoweza kukwambia ni kwamba najua kuvaa na napenda kila mtu aonekane nadhifu sawa bandugu!?hii level nyingine.Msimdanganye mshkaji coz mshkaji wenu wa kitaa ila mwambieni ukweli ili apendeze,si wote tuko hapa kwa ajili ya kuponda ni kwa ajili ya kujenga.Na Martin nakushauri jaribu kuconsider mawazo ya watu wengine wanasemaje.Ni hayo Tu
    So much

    ReplyDelete

sema tukusikie