Kufungua pazia muite Elizabeth michael!! binti yangu wa shule ambae anapasua anga la kuburudani tanzania kwa kuwaacha watu na midomo wazi!!!
Mwasiti..."Barnaba nilikuambia sipendi mazoea mbele za watu!! kuniandikia hiyo kisa pombe isiwe tambu" si unamuona B dozen anazuga anapiga picha kesho katika zilizomake headline utasikia hii kitu!! shauri yako
hivi hizi pozi za mwasiti na barnaba zilikuwa za camera hii au nyingine? naona pozi huku lakini macho huko!!
Make up artist wakutegemewa Rehema, martin Kadinda na Giver meena!!Wala usiniseme gauni yangu fupi we sauda kazana kula tunyama hutu maana tutamu sana!! kwetu Clouds tunakula kila siku fanya mpango uje utanenepa!!
I love everything about Your style jamaa zangu but hiyo mikanda kuigeuza nyuma mbele ni swagger au? i dont see anything good about it!!
it has been long time toka nimekutana na Tayana!! was nice seeing her! looking fine!! kitu cha coloured juu kichwani kwa fashionista Penny na gauni la Lace... Hapana chezea yeye!!
Penny ndani ya pure lace dress na mimi nina pure DnG tishert na dini la black diamond shingoni!!!! poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooa!
Kikosi kizima cha madada zangu, kushoto Hawa Ismail, Dina na kulia yupo Kimora Lee bila kumsahau Benny kinyaiya hapo kati!!
nyc shots martin, n nyc updates on the fashion industry, do keep it up brothr, ric
ReplyDeletekimora lee bongo,watangazaji wa tv jifunzeni kuvaa sijaona vaa yenu kabisa, watu wa kawaida mbona wanalipuka pamba, nyie hamjui kwa kweli sijaona mapigo yenu
ReplyDeletegudyy ppple,guddy things
ReplyDeletemartin kwa nini huanzishi kuwauliza nguo zao wamevalishwa na nani ili tujue nani mkali wa nguo za mjini ana pamba za maana
ReplyDeletekaka uwe unaenda kumfariji mara kwa mara mdogo wako mbona kama umemtelekeza?
ReplyDeletekaka uwe unaenda kumpa faraja lulu mara kwa mara
ReplyDelete