Saturday
Ukaribu wenu ni chanzo cha migogoro ya kimapenzi?
Kwa muda wa miaka miwili sasa nimekuwa nikifahamiana na Shyrose Banji... mara nyingi nimekuwa nikikutana nae katika shughuli mbali mbali za kijamii na nimekuwa nikimpenda kwa kuwa ni moja ya wadada wachakarikaji katika kugusa jamii inayomzunguka, nimeshtushwa na Kauli za mpenzi wake Jafarai.. mimi binafsi sitambui kuachana kwao kwakuwa nimesikia tu upande mmoja wa stori, nafikiri tusihukumu kuvunjikwa kwa Uhusiano wao kwa kusikiliza upande mmoja.. kuna umuhimu wa kujua Shyrose analizungumziaje hili... pichani hapo juu inamuonyesha mwanaharakati Shy rose akiwa na mbuge wa Mbeya mjini ambae ndo inasemekana ni chanzo cha mtafaruku wake na mpenzi wake.. kwani kuwa karibu kikazi ni tatizo? inawezekana Kukawa na sababu kubwa kwa jafarai kusema aliyosema katika Vyombo vya habari...Mvutokwanza kwa kutambua thamani ya jina Lako shyrose Banji ingependa kukupa pole kipindi hiki kigumu kwako na kuomba utumie busara zaidi katika kuzungumzia jambo hili kwa wa jamii inayokuzunguka.. kila mmoja anatamani kusikia nini unaweza kusema kuhusu hizo shtuma!! na Kwa jafarai, katika mapenzi kuwa mabonde na milima hili lingezungumzwa na kumalizika kimya kimya bila Tanzania nzima kujumuishwa maybe unamakosa pia kwa upande wako hivyo isiwe ni kesi ya upande mmoja zaidi!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kweli ndugu bora hata umetusoma mawazo sisi wenye akili wachache na kufanya hili, m sure Jaffarai is still a kid ambae cjui nimuelezeeje, la muhimu ni kumpuuzia tu, hayo si mapenz, mambo ya kutangazana hvo ts not a deal kabsa,
ReplyDeletedada shy rose just kul down n mind ya own business, ukianza jibizana na huyo Jaffarai u'll be waisting ya precious time. get busy n make money while he's busy duin the un'necessary to the press n kokote kule
good luck to you shy rose