Monday
Just for Ladies
Its a great time for me and am sure kwa wewe mpenzi wa blog hii.. leo nataka kushare jambo dogo na dada zangu ambao kwa kiasi flani swala la mapenzi limekuwa likiwatesa na kuwanyima raha.. nasema haya kutokana na yale niliyokutana na kuyajua kutokana kwa marafiki zangu wa kike!! sasa leo nawapa darasa la HOW TO MAKE A MAN FALL IN LOVE WITH YOU.... Fanya haya yafuatayo...
1. Just Be yourself trust me hakuna mwanaume anapenda mwanamke fake mwenye mbwembwe na madaha mengi ya kukopi ili tu kuonekana mzuri au unaweza vitu, Agreeing on everything he says won't make it like you more.
2.Do your homework on him. You must ask around. Find out if he has a MySpace/Facebook/other social networking site. This is great for finding out what he's into, like music/films/general opinions. You can use this information to start up conversations later on. mara nyingi wanaume au wavulana wengi tumetumia kurasa zetu za mitandaoni kuandika tuvipendavyo so mama jitahidi kujua account yake maybe ya facebook na hapo mtamfahamu mambo anayoyapenda kwa ukaribu
3.Go the extra mile. vuka mipaka kwa kumjua zaidi,Stand out from the crowd. Do small things to get his attention, like if you already know him (albeit vaguely) make sure you are always there for him if he needs someone to talk to or if he needs to borrow something. Does he play sports? If so, you better get your butt on a bleacher with a towel, water bottle, and whatever else he needs. This way you're showing him you like him without telling him
4.Let them feel manly!mara zote mfanye ajisikie huru na kwamba yeye ndo anakukamilisha wewe kwa kila kitu, Seize control without them becoming aware by letting him comfort you through a hard time. Allow him to think he made you feel better
5.Once you get a guy to like you, try to let go a little TINY bit so they can come. Ask your friends for their opinions if he likes you if you cannot tell. Maybe flirt a little with other guys. Play hard-to-get, but always be honest. hii mara nyingi ndipo wanaume wengi tunapokamatika
6.Don't change who you are! If you have to, he's definitely not worth it. Be honest, and don't be one of the girls that acts completely different around her boyfriend.
Ukifanya hayo yote na usimpate basi huyo hukuandikiwa awe wako!! move on with your life maana utajikuta unatwanga maji katika kinu!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie