Naintroduce the urban Gent... hii itakuwa ni kwa ajili ya muonekano mpya(Fashion) kwa mwanaume ambao utakuwa umeingia katika chati kwa kipindi hicho, The urban Gent for this time ni inarudi miaka ile ya nyuma ambapo tulikuwa tunavaa kofia ambayo hapa mbele imekunjwa kidogo haijanyooka wima kama wanavyovaa vijana wengi mpaka leo, kofia hiyo lazima iendani na Simple tshirt ambayo ukiingalia kwa haraka inakuwa kama imechaka lakini sio kuchakaa ni muonekano wake tu, unaweza kuvaa na kishati/kikoti cha uzushi kwa juu ila usiifunge vifungo hiyo shati na chini unapiga pensi, pensi hiyo unaweza kuivalia na Sandals(kiatu cha wazi) au zile raba ambazo zinavitobo vidogo vidogo, picha hizi zitakusaidia kuelewa zaidi
MH MARTIN MY DEAR HIZO FASHION INATEGEMEA NA MIGUU YA HAO VIJANA IMEKAAJE,CYO MGUU MWEMBAMBA HATAPENDEZA INABIDI MTU AJICHEKI KWANZA YUKOJE.
ReplyDelete