HII IMEANZA KAMA UTANI... LAKINI NAHISI INAKOELEKEA SIO KUZURI...... SWALI LANGU LITABAKI KUWA LILE LILE?? NANI MKWELI HAPA DESIGNER WETU MAHIRI SHERIA NGOWI AMA JACKIE MAFURU PICHANI?? FATILIA MARUMBANO HAYA KUPITIA SOCIAL NETWORKS.. ILIANZIA KWA BLOGGER MWENZANGU HAKI NGOWI KUPITIA ACCOUNT YAKE YA TWITTER AMBAPO ALIANDIKA......
Mwonekano wa gauni hili watu wameiga kazi za @sheriangowi bila aibu baada ya kumshonea mteja mmoja.. AIBU pic.twitter.com/o6dPyDc5
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie