THE OFFICIAL DESIGNER OF THE WEDDING NILIKUWA MDOGO WA MWISHO WA BWANA HARUSI, |
COLOURS WAS YELLOW,PURPLE,PINK,RED AND GREY
THE BOTH GONE CREAM, WHITE AND BLACK (SINGLE BUTTON) PINK WAS ONLY KWENYE SAMAKI TIE |
TO GIVE IT A BETTER LOOK I MIXED WITH KITENGE KATIKA MFUKO WA KOTI.. U LIKE IT? |
MY LOVELY SISY, SHE IS OUR THIRD BORN, MARRIED AND LIVING IN MBEYA... HER DRESS WAS DESIGNED BY ME AS WELL NA KUSHONWA SINZA MAKABURINI. |
HAVE YOU EVER HAD THAT ONE SISY AMBAYE ENZI ZA UTOTONI UKIKOSEA UNAOMBA KESI YAKO IFIKISHWE KWA MAMA AU BABA AND NOT KWAKE? NDO HUYU SASA |
ALIKUWA HAPENDI PICHA ENZI HIZO ILA SASA NI CHIZI MAPICHA KAMA MIMI. |
AND THIS IS HER DAUGHTER.. MTOTO WAKE WA KWANZA ANAITWA LOREEN |
SHUGHULI HAIKUISHIA HAPO.. THEY ALL GONE MARTIN KADINDA IN A VERY COLOURFUL WAY.. |
U WAND YOUR BRIDE MAIDS TO SHINE LIKE THIS? CALL ME AND WE MAKE IT HAPPEN |
STREET FASHION |
SINGLE BUTTON HAINA UMRI NA FASHION YAKE HAIISHI LEO WALA KESHO. |
big up martin nimependa sana,the coloure are to die for,OMG!! we ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteWaooh brother I dont even know what to say, ur real genious, my number 1 tz's designer, i love what you did to that wedding, so gorgious and colorfull outfit...keep up Meeen, just show them what you can do, #TeamSingleButtonNeverDie
ReplyDeleteOMG... THIS IS NIIICE, SURELY WE WILL CALL YOU FOR OUR WEDDING...I WANT MINE WHITE WITH ONE OF COLOR ILIYOTULIIIIA. I LUV THIS
ReplyDeletebwana harusi anaonekana chapombe!!!!
ReplyDeletenguo ya dada nimeipenda! colour combinatio is awesome. but maids design, noooo!! design ya maids hukutenda haki, something is not right especially kwenye shingo
ReplyDeleteUmetixha kaka.
ReplyDeleteBig up u made them shine like diamondds
ReplyDeleteMama Bruno... amependeza na gauni lake.
ReplyDelete