Sunday
Jide doing her things!!
Katika pita pita yangu wiki hii nilifanikiwa kukutana na mwanadada nguli katika muziki wa kizazi kipya... binti machozi, aka Komando ukipenda muite WATAJIJU..... alikuwa akiandaa kinywaji maalumu kwa ajili ya shughuli flani ya rafiki yake wakaribu... huyu dada anakipaji sio cha kuimba tu bali she is full packed with more!!
Hiki ni kipaji ...... sio kila mtu anaweza... ndo maana katika shughuli hii nimewekwa kamati ya ufundi......
Pombe tamu inahitaji viambatanisho mbalimbali bwana... hapa anaongezea ice in it!!
Alikuwa yupo ki India zaidi... look at her... looking great!!
Ni wakati wa kuburudika sasa.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
huyu mwanamke namadmire kupita maelezo anajichanganya kila sehemu.
ReplyDeleteanapenda kujichanganya ilamsaidieni kimavazi bado hajui kuvaa anachanganya rangi hajui kujiremba hana mvuto kabisa pls zeze
ReplyDelete