FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179
Sunday
Muonekano Wako kuelekea TANZANIA RED RIBBON FASHION GALLA 2011, 1st December @Double tree by Hilton Hotel
This year Tanzania red Ribbon inafanyika tar 1 december ambapo dunia nzima inawakumbuka marehemu waliofariki kwa janga hili la ukimwi na theme color of the event ni Red, so tafuta kitu chekundu kama ushapata mwaliko siku hiyo usije ukajiona out of place bure
Ukikosa kabisa hata hii skarf si mbaya kujitwika tu
Ukitapa muonekano huu pia sio mbaya!
Wanawake nawaaminia najua hamkosi Red dresses bana ila pata kukopi japo make up kama sio kivazi basi
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie