Wednesday

FASHION ON POINT:- BE INSPIRED....AM INSPIRED

DEJON: ONE OF THE BEST BLACK STYLIST... NEVER BEEN DISAPPOINTED WITH HIM



FASHION ON POINT:- JUSTIN TIMBERLAKE IN SINGLE BUTTON TUXEDO

ONE OF MY FAVORITE ARTIST OF ALL TIME JUSTIN TIMBERLAKE WAS SPOTTED ON HIS WAY TO LOS ANGELES YESTERDAY. JUSTIN WAS IN DARK BLUE TUXEDO WITH WHITE COTTON SHIRT. JUSTIN HE IS BUSY SHOOTING HIS NEW VIDEO AND AM SO EXCITED TO SEE THE VIDEO.. MORE SINGLE BUTTONS IN IT??

UNAONA NINI? HE IS BELT LESS... KANICOPY AHAHHAHAHHA

INAKUUMIZA SANA

TO ALL WATEMBELEAJI WA BLOG YANGU.. AM SORRY FOR NOT BEING HERE KWA MUDA MREFU... KUNA MENGI YAMEJITOKEZA HAPO KATIKATI NA SIKUWA NA LAPTOP YANGU PIA.. PROMICING TO HERE SOON.. MOJALA MUHIMU... SIKUANZISHA HII BLOG ILI KUTUKANA OR KUCHAFUANA NA ANYONE.. SO SAVE YOU COMMENTZ ZA KUTUKANA WATU ZAIDI YA KUWA NINAZISOMA NACHEKA NA KUZIFUTA....

 

Sunday

Sunday OutinG

Kodak Moments after business launch....





Inshalaah

Kwa kila hatua Ya maisha ni vyema kumshukuru Mungu...




Thursday

TAFAKARI

Hakuna fani Rahisi... Wengi wanadhani fani ya Urembo ni tambalale.......

Friday

Wema Sepetu... Hosting Her top 20 favorite songz today on 102.6 Choice fm from 3-5pm

Mama vannY siku ya Leo mchana anatakuwa live akitangaza.... Hii itakuwa ni Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza sauti na kuendesha show Ya redio kwa masaa mawili... Maybe hii itakuwa ni mwanzo wa sauti yake kusikika redioni.... Hebu tune to Choice Fm today 102.6 Fm and let us know what do you think...?? Anaiweza hii kazi





Thursday

BAADA YA MVUA: Now time to step Out

No caption
... Just mwonekano wangu wa Leo

Tuesday

Hali si shwari...Its wAtoto wa Kkoo Vs Diamond platnumz.... Chupa zarushwa, mayai Viza na Viti

Mara nyingi msanii mkubwa anapofanya perfomance Lazima swala la usalama lizingatiwe... Diamond ni msanii mkubwa sana si wakupewa ulinzi wa bounces wanne on stage... Mliokuwepo leo mmejionea shughuli ilivyokuwa... Sitaki kujua show imeishaje kwakuwa mimi si mpenzi wa fujo... So far i have seen his energy and munkari wa show ulivyo... Naamini itaishi salama....ukiangalia kwa makini utaona watu wakiokota chupa on stage...... #Show imeisha salama and Diamond anasema hawamwezi kamwe... Show zake hata ziwe na vikwazo vipi lakini huwa anahakikisha his audiance wanapata burudani walioilipiwa


















Wasafi In the House..... #Maisha club....DiAmbond platnumz anafunga na kufungua Mwaka

Hii ni Hali Halisi ya Maisha club.... Shughuli nzima inamuhusu Rais wa Wasafi Diamond platnumz, Ben paul and Dully sykes and Mc wa Leo ni HK.... Kip it here for more updates






Mama VannY (Wema Sepetu) with Her Daughter Out and About....

Ikiwa ndio siku Ya kwanza anastep out... Malkia wa Filamu nimekutana nae mchana huu maeneo ya kinondoni.... Kaniacha hoi maana mtoto kawekwa ndani Ya pochi.....