Monday

THE MOST VOTED MEN AS "WORLD FINEST MEN"

TAYLOR LAUTNER

JOE JONAS

JUSTINE TIMBERLAKE

JOSH DUHAMEL

CHACE CRAWFORD

ENRIQUE

IAN SOMERHALDE

BRAD PITT



BRO U KILLED IT.....DESIGNER SHERIA NGOWI FOR HAKI NGOWI'S WEDDING

HAKI NGOWI WITH HIS WIFE LOOKING MWAX MWAX LAST WEEKEND




DESIGNER HIMSELF SHERIA NGOWI AT THE MIDDLE


 " I LOOK AT YOU KAKA"


Saturday

WEEKEND NJEMA: KIGAMBONI MOUUUUUJER


DEDICATION: I HATE THAT I LOVE YOU: RIHANNA feat NE-YO

Friday

ILE PARTY YA KUMINGLE- JUST YOUR COLOURS WILL SAY IT ALL

MAELEZO YAMEJIKAMILISHA........JUST CHECK WITH YOUR STYLIST UJUE KIPI KINAKUFAA

NAJIFUNGIA NDANI: JUMPING THE BROOM REWATCH




 NIMEANGALIA FAMILY DRAMA MOVIES KIBAO ILA HII KWA MWAKA HUU IMENIKOSHA... TENA NAKUMBUKA SIKUTAKA KABISA KWENDA KUIONA ILA JOKATE AKANILAZIMISHA... NILIINGIA HUKO NIMENUNA ILA NILITOKA NAUMWA NA MBAVU KWA KICHEKO... THIS WEEKEND NAIRUDIA TENA... KAMA HUJAWAHI KUICHEKI PLSS ITAFUTA AND TUKUTANE KWENYE COMMENTS.

Thursday

WASICHANA MAARUFU BONGO WATANO WENYE MVUTO ZAIDI....

 Wema Sepetu...I just love her voice,lips, skin tone and that caring heart
Lulu Michael she knows sifa zake zote ambazo nilikuwa nampa kila siku tukiwa wote... her smile huwa linaninyong'onyeza kabisa. Ana heshima, ni mwelewa na ni Jambazi wa hisia za watu.. akiamua kuiteaka tanzania kwa hisia tu anaweza

Jackie cliff.... am sure hapa sipo peke yangu bana kwa kutokwa na udenda... look at her sexy body.... kimwili kisichokomaa!! ana akili na ni mtafutaji katika maisha.. in her Young age she is married and managed to kip her life more personal

Tune to 88.4Fm utajua nini kimeniteka kwa huyu mtoto....mke wangu akikosa sauti ya Wema apewe  Ya Diva Lovess love... anateka vijana wengi muda wa show yake ukifika... mahusiano yamevunjika sababu ya watu kusikiliza show yake badala ya kula chakula cha usiku na wapenzi zao

JOKATE URBAN MWEGELO.......  GIRL WITH SWAG.........AKILI KUMKICHWA......KICHEKO CHAKE CHA KITOTO  WITH KAKIUNO KADOGO DOGO.

HAPPY MUUNGANO DAY: TANZANIA BARA NA VISIWANI

RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...DR J M KIKWETE.... AKIWASILIA UWANJA WA TAIFA

AKIKAGUA GWARIDE

KATIKA HAFLA FLANI FLANI WEEKEND ILIYOPITA

JLO AFRICA, MARTIN KADINDA AND JACKIE MZINDAKAYA

BACK TO SCHOOL: CATCH THEIR ATTENTIONS (USAFI MUHIMU)

KUNA MAMBO MENGI AMBAYO NI MADOGO MADOGO YANAWEZA KUKUKOSESHA SIFA ZA KUWA MAWANAUME KAMILI, HIVI INAKUWAJE UNAJIITA MWANAUME RIJALI ALAFU UNAKUCHA NDEFU AMBAZO HAZIJASAFISHWA? MARA NYINGI TUMEKUWA TUNAITWA MAJINA MBALIMBALI YA KEJELI KUTOKANA NA VIMAKOSA VIDOGO VIDOGO TUNAVYOVITENDA BILA YA KUJUA... HIVI UNAMKUMBATIAJE MKEO AU MPENZI WAKO NA KUMPAPASA MWILI HUKU UNA KUCHA NDEFU?  KUCHA NDEFU NI ASILI YA UCHAFU.... JITAHIDI KUKATA KUCHA ZAKO ILI KUWA NA MWONEKANO WA KIUME... UKIFUGA KUCHA UNAJIPATIA SIFA MBAYA KAMA SHOGA, MUUZA UNGA AU WALE MASELA WAKIZAMANI.. MAISHA YA SASA KIJANA MTANASHATI HUPASWI KUWA NA SIFA HIZO

KILA MWANAUME ANAPASWA KUWA NA SETI HII YA USAFI MDOGO MDOGO WA KUCHA NYUMBANI KWAKE MAANA SI WOTE TUNAOWEZA KWENDA SALOON NA KUSAFISHWA KUCHA

 BAADA YA KUWEZA KUWEKA KUCHA ZAKO VIZURI.. UNAPASWA KUZINGATIA USAFI WA NYWELE, NGOZI NA MENO... HIZI NI SILAHA MUHIMU KWA MWANAUME YOYOTE, CLAEN SHORT HAIR, NICE SKIN TONE WITH SWEET SMILE ON YOUR FACE WITH CLEAN TEETH UTASHINDWAJE KUMPATA YULE MWANAMKE WA NDOTO ZAKO? UTAWEZAJE KUMPOTEZA MKE WAKO ULIKAA NAE KWA MIAKA MINNE SASA TANGU MUOANE??
KWA USHAURI WA BURE... MIMI NAAMINI NYWELE FUPI ZINAMPENDEZA MWANAUME YOYOTE YULE... NA NIVIZURI KUNYOA NYWELE ZAKO KILA BAADA YA WIKI MBILI... KUHAKIKISHA ZINAKUWA KATIKA MWONEKANO MZURI MUDA WOTE, KAMA WEWE NI MTU MWENYE NYWELE KIPILIPILI KAMA MIMI WEKA WEVU KIDOGO TU ILA ISIKOLEE SANA.. LAINISHA TU NYWELE ILI IWE RAHISI KUZICHANA.

UKIMALIZANA NA SWALA LA NYWELE... YOUR SMILE WILLSPICE YOUR DAY AND YOUR LOVED ONES... MAKE SURE U GOT CLEAN TEETH.

WEMA SEPETU...FINALY ON TWITTER

FORMER MISS TZ WEMA SEPETU..... AMUA KUJIUNGA NA MTANDAO WA JAMII WA TWITTER KWA KUPITIA JINA LA @wema_sepetu. ANASEMA KILA MTU AMEKUWA AKIMWAMBIA AJIUNGE NA TWITTER KWANI HII NI NJIA MOJA WAPO YA KUFIKIA MASHABIKI WAKE NA KUKUTANA NA MAMBO MENGI AMBAYO YATAMJENGA... ANAAMINI SOCIAL NETWORK ZINA FAIDA NA HASARA ZAKE LAKINI KWAKE ATAANGALIA FAIDA ZAIDI.... HAYA LETS FOLLOW HER NOW @wema_sepetu

Monday

Single Buttons By Martin Kadinda Features "Neutral Attack" We go Western

UKIPENDA PLEASE CALL ME AND WE TALK BUSINESS +255 769 754 774

Saturday

Friday

MANGE KIMAMBI Vs RAY KIGOSI

NDUGU ZANGU BEEN A BLOGEER DOESN'T MEAN NAJUA KILA KITU.... NIMESHANGAA WATU MNANIANDIKIA EMAIL NA COMMENTS ZA AJABU NIWEKE SAKATA LA MANGE NA VICENT KIGOSI...... AM SURE YOU ALL KNOW SIWEKAGI HABARI ZISIZONIHUSU KWAKUWA  HII BLOG YANGU NAWEKA VITU VINAVYONIVUTIA NA NDIO MAANA NAIITA MVUTOKWANZA... SIJUI LOLOTE ABOUT MANGE NA RAY KUWA NA MATATIZO HIVYO NAOMBA NISIANDIKE LOLOTE ZAIDI YA KUPITIA BLOG MBALI MBALI NA KUSAFISHA MACHO.... MIMI NA NYINYI TUZUNGMZE ABOUT MSANII WANGU WEMA SEPETU AU SINGLE BUTTONS.....

BEST FASHION DESIGNERS IN TANZANIA: WABUNIFU 7 AMBAO NINAWAKUBALI TANZANIA







TUNA WABUNIFU WENGI TENA WENGI SANA TANZANIA... ILA HAWA NILIOWATAJA NI WATU AMBAO KWA KIASI KIKUBWA WAMECHANGIA KUFIKISHA HII TASNIA HAPA ILIPO NA PIA WENGINE WAMEIBUKA JUZI JUZI NA KUWEZA KUSHIKA CHAT KUTOKANA NA UBORA WA KAZI WAO.. NATAMBUA KAZI ZA FARHA SULTAN, JAMILA SWAI, ZAMDA GEORGE, KISA(KIKI'S FASHION) JOKATE.. KIDOTI LOVING, SALIM MTOKO DESIGNS, MTANI,MARTIN KADINDA, BIANCA, GABRIEL MOLLEL, FRANSICAR NA WENGINEO WEEEEENGI.. NAHESHIMU KAZI ZA KILA MBUNIFU ILA HAO NILIOWATAJA NDIO KWANGU WANANIKOSHA.... NI MAWAZO TU TUSIJENGEANE CHUKI.. NAKUPA SIFA ZAKO ZA KWELI KULIKO KUKUPAMBA KWA UONGO.