Monday

Mapichaaaa!!

macho katika camera woteeeeeeeeeeeeeeee

One of my mothers in town!! Salama Jabir aka Ece Jay
hapooooo thatha.....in her own world Vj Penny

Sunday

DENIM JEANS COLLECTION



Ukiachia na style za jeans make up ya michirizi ya damu imeleta msisimko wa kipekee hapa!!






I loved the combination of black shoes with these Blue jeans

Mambo ya Milan Fashion Week | Burberry Prorsum Autumn/Winter 2011

Kwa wadau wangu wa nchi za joto hii ndio clean fashion nayoweza kukushauri kuipigilia kwa kipindi hiki cha winter, bueberry honestly huwa ananigusa naubunifu wake


Hutu tusuruali napenda kutuita tubunduki kwa jinsi tunavyobana!!

Loving them shoes and bags hapo kati




My Patna killing it in Her own Way!!

Nikitambo sasa tangu my patna Sarah aende kusoma na kujipanga kimaisha Sweden, in a way naona mwanya mkubwa katika maisha yangu lakini kwa kiasi flani nashukuru kuwa bado ni mmoja kati ya watu wanaonisupport!! thank you for that!! tuachane na hayo... In Ice Black Magic Sweden? she kiilled it!! mnyama pale mkononi.... lace stockings yaani ni balaaa
Defining Clean fashion
Love them butts hapo chini na animal print hapo mkononi!! tupicha quality sio kivile but tuvumiliane wadau wangu!!

773 Ya cloudsFm tukianza na Leo tena!!

Ukiongelea Leo tena unakuwa unamzungumzia dina Marios maana yeye ndo brand manager wa kipindi hicho toka alipokipokea kutoka mikononi mwa Marehemu Amina chifupa... kamwe hakutetereka na amezidi kujipatia umaarufu siku hadi siku kupitia kipindi hicho.. so mwaka huu wanatimiza miaka saba ya leo tena na mvutokwanza inampongeza dina na timu yake nzima kwa kuleta mapinduzi katika burudani kwa njia ya redio!!
mavazi yao hawa dada yanaonyesha different Personality kulingana na segment walizonazo katika Show yao ya redio..... kama Sex and the city? Zamaradi so fashionable, dina ungepata miwani haapo ingekuwa balaa... wapi Geha wa kanga Moko?? dina anasema, "Ni miaka 7 sasa toka LEO TENA ya clouds fm ilipoanzishwa,wewe umekuwa msikilizaji wetu kwa muda sasa na msimu huu wa sherehe za miaka 7 tuna mengi ya kukupa.Ni shamrashamra zitakazodumu kwa mwezi mzima wa February ina maana ni kuanziatarehe moja wiki iyajo.Dina Marios pamoja na timu yangu nzima tunakukaribisha tusherehekee pamoja!!

picha kutoka I-view media!!

Friday

London Fashion Week ya April 2009 ilinikuna

Hutu tusweta nikienda kwetu Iringa nadhani tutanifaa sana! so classic
Coctail party kwa maeneo ya baridi naweza kwenda kwa muonekano huu hapo juu!
So fashionable but for me Noooo!!
Colourful look!!

Queen of Fashion-Willow smith

Ukiambia nizungumzie fashion kwa upande wa real fashion... Willow killed it here!! Jada anafanya kazi ya ziada kwa huyu binti yake....look at her,...What do you see?? a yellow jacket and yellow boots, leopard printed leggings, bright orange shorts and multilayered silk skirt with a long tail. The cropped jacket with heavily fringed back and statement shoulders, chain jewelry and chain-decorated boots!!! hii ni balaa.. akifika age ya akina rihanna huyu? si hapakaliki hapa?
uhondo huu wa fashion utaupata ndani ya 21st century girl video

2011 Oscar Nominees

List of 2011 Oscar nominees

BEST MOTION PICTURE OF THE YEAR
Black Swan
The Fighter
Inception
The Kids Are All Right
The King’s Speech
127 Hours
The Social Network
Toy Story 3
True Grit
Winter’s Bone

BEST ACTOR
Javier Bardem, Biutiful
Colin Firth, The King’s Speech
James Franco, 127 Hours
Jesse Eisenberg, The Social Network
Jeff Bridges, True Grit

BEST ACTRESS
Natalie Portman, Black Swan
Annette Bening, The Kids Are All Right
Jennifer Lawrence, Winter’s Bone
Nicole Kidman, Rabbit Hole
Michelle Williams, Blue Valentine

BEST ACTOR IN A SUPPORTING ROLE
Christian Bale, The Fighter
John Hawkes, Winter’s Bone
Jeremy Renner, The Town
Mark Ruffalo, The Kids Are All Right
Geoffrey Rush, The King’s Speech

BEST ACTRESS IN A SUPPORTING ROLE

Amy Adams, The Fighter
Helena Bonham Carter, The King’s Speech
Melissa Leo, The Fighter
Hailee Steinfeld, True Grit
Jacki Weaver, Animal Kingdom

BEST DIRECTOR
David O. Russell, The Fighter
Tom Hooper, The King’s Speech
David Fincher, The Social Network
Joel and Ethan Coen, True Grit
Darren Aronofsky, Black Swan

BEST ADAPTED SCREENPLAY
127 Hours, Screenplay by Danny Boyle & Simon Beaufoy
The Social Network, Screenplay by Aaron Sorkin
Toy Story 3, Screenplay by Michael Arndt; Story by John Lasseter, Andrew Stanton and Lee Unkrich
True Grit, Written for the screen by Joel & Ethan Coen
Winter’s Bone, Adapted for the screen by Debra Granik & Anne Rosellini

BEST ORIGINAL SCREENPLAY
Another Year, Written by Mike Leigh
The Fighter, Screenplay by Scott Silver and Paul Tamasy & Eric Johnson; Story by Keith Dorrington & Paul Tamasy & Eric Johnson
Inception, Written by Christopher Nolan
The Kids Are All Right, Written by Lisa Cholodenko & Stuart Blumberg
The King’s Speech, Screenplay by David Seidler

BEST FOREIGN LANGUAGE FILM OF THE YEAR
Biutiful (Mexico)
Dogtooth (Greece)
In a Better World (Denmark)
Incendies (Canada)
Outside the Law (Hors-la-loi) (Algeria)

BEST ANIMATED FEATURE FILM OF THE YEAR
How to Train Your Dragon
The Illusionist
Toy Story 3

BEST DOCUMENTARY FEATURE
Exit through the Gift Shop
Gasland”
Inside Job
Restrepo
Waste Land

BEST DOCUMENTARY SHORT SUBJECT
Killing in the Name
Poster Girl
Strangers No More
Sun Come Up
The Warriors of Qiugang

BEST SHORT FILM (ANIMATED)
Day & Night
The Gruffalo
Let’s Pollute
The Lost Thing
Madagascar, carnet de voyage (Madagascar, a Journey Diary)

BEST SHORT FILM (LIVE ACTION)
The Confession
The Crush
God of Love
Na Wewe
Wish 143

ACHIEVEMENT IN ART DIRECTION
Alice in Wonderland
Harry Potter and the Deathly Hallows: Part I
Inception
The King’s Speech
True Grit


ACHIEVEMENT IN CINEMATOGRAPHY

Black Swan, Matthew Libatique
Inception, Wally Pfister
The King’s Speech, Danny Cohen
The Social Network, Jeff Cronenweth
True Grit, Roger Deakins

ACHIEVEMENT IN COSTUME DESIGN
Alice in Wonderland, Colleen Atwood
I Am Love, Antonella Cannarozzi
The King’s Speech, Jenny Beavan
The Tempest, Sandy Powell
True Grit, Mary Zophres

ACHIEVEMENT IN MAKEUP
Barney’s Version, Adrien Morot
The Way Back, Edouard F. Henriques, Gregory Funk and Yolanda Toussieng
The Wolfman, Rick Baker and Dave Elsey

ACHIEVEMENT IN FILM EDITING
Black Swan, Andrew Weisblum
The Fighter, Pamela Martin
The King’s Speech, Tariq Anwar
127 Hours, Jon Harris
The Social Network, Angus Wall and Kirk Baxter

ACHIEVEMENT IN MUSIC WRITTEN FOR MOTION PICTURES (Original Score)
How to Train Your Dragon, John Powell
Inception, Hans Zimmer
The King’s Speech, Alexandre Desplat
127 Hours, A. R. Rahman
The Social Network, Trent Reznor and Atticus Ross

ACHIEVEMENT IN MUSIC WRITTEN FOR MOTION PICTURES (Original Song)
‘Coming Home’ from Country Strong, Music and Lyric by Tom Douglas, Troy Verges and Hillary Lindsey
‘I See the Light’ from Tangled, Music by Alan Menken, Lyric by Glenn Slater
‘If I Rise’ from 127 Hours, Music by A. R. Rahman, Lyric by Dido and Rollo Armstrong
‘We Belong Together’ from Toy Story 3, Music and Lyric by Randy Newman

ACHIEVEMENT IN SOUND EDITING
Inception, Richard King
Toy Story 3, Tom Myers and Michael Silvers
Tron Legacy, Gwendolyn Yates Whittle and Addison Teague
True Grit, Skip Lievsay and Craig Berkey
Unstoppable, Mark P. Stoeckinger

ACHIEVEMENT IN SOUND MIXING
Inception, Lora Hirschberg, Gary A. Rizzo and Ed Novick
The King’s Speech, Paul Hamblin, Martin Jensen and John Midgley
Salt, Jeffrey J. Haboush, Greg P. Russell, Scott Millan and William Sarokin
The Social Network, Ren Klyce, David Parker, Michael Semanick and Mark Weingarten
True Grit, Skip Lievsay, Craig Berkey, Greg Orloff and Peter F. Kurland

ACHIEVEMENT IN VISUAL EFFECTS
Alice in Wonderland, Ken Ralston, David Schaub, Carey Villegas and Sean Phillips
Harry Potter and the Deathly Hallows: Part I, Tim Burke, John Richardson, Christian Manz and Nicolas Aithadi
Hereafter, Michael Owens, Bryan Grill, Stephan Trojanski and Joe Farrell
Inception, Paul Franklin, Chris Corbould, Andrew Lockley and Peter Bebb
Iron Man 2, Janek Sirrs, Ben Snow, Ged Wright and Daniel Sudick

B 12 ndo Terrence wa bongo nadhani

















































Ukizungumzia swala la Trends and fashion... nimekuwa nikimkubali sana Terrence he has this charming touch of style with young look.. hii imekuwa ikimfanya apendwe sana na mabinti... Tukirudi nyumbani kwetu hapa Tanzania B12 amekuwa akijitahidi sana katika uvaaaji wake na watoto wamjini wanapenda kutumia neno la kutupia! anjua kutupia!! so kwa mtazamo wangu wa haraka haraka nimekuwa nikimuona B twiz ana touches za terrence katika mavazi!! Good start hope tutapata watanzania kibao watakaokuwa wana uvaaji wa kugusa wadau wa fashion!!

Jinsi ya kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi wa kimapenzi mbele ya Mwanamke yeyote!!

Wanaume wengi tumekuwa tukijidanganya kuwa kama huna mvuto i mean uzuri asili basi huna thamani mbele ya mwanamke! thats so wrong!! mvuto asili ni vionjo tu vinavyomfanya mwanamke akutamani na sio kukupenda.. wanaume wangapi wenye mvuto wameishia kuanguka katika mikono ya wanawake wabaya na wasio na mvuto unaoufikiria? najua hakuna mbaya duniani ila viwango vya uzuri tumezidiana, wapo wazuri sanaaaaa na wapo wakawaida hivyo usijishushe kwa kuwa unahisi huna mvuto!! leo nafunguka kukueleza jinsi unavyoweza kuwa mmoja ya Most desired Man hapa tanzania, wazungu wanasema "Nothing is more desirable to women than a man who is passionate, goal oriented, seductive and valuable. There is something hot about a passionate man that makes every woman melt.

1. Trigger Her Emotions:
wanawake wengi wametawaliwa na hisia na katika swala zima la mapenzi, hivyo wanaongozwa sana na hisia.. kikubwa unachopaswa kufanya ni kuteka hisia zao! hii ni kazi rahisi sana hupaswi kuwa umekwenda shule au una uzoefu wa mapenzi.. njia kubwa ya kuteka hisia zake, onyesha unamjali na unaelewa kile anachojaribu kukuelekeza na katika kila asemalo uwe na kionjo wa Gesture kwa kizungu, maneno kama pole, inasikitisha, inafurahisha, unanisisimua na mengineyo mengi kulingana na eneo mliopo wakati wa mazungumzo.. sio mko msibani unamwambia unanisisimua, how that can happen?? This is the biggest secret art that can make you a desired man for weman.


































Those days together!!


“As I look back on all that's happened..growing up, growing together, changing you, changing me -- there were times when we dreamed together, when we laughed and cried together. As I look back on those days, I realize how much I truly miss you and how much I truly love you. The past may be gone forever..and whatever the future holds, our todays make the memories of tomorrow. So, my lifetime friend, it is with all my heart that I send you my love, hoping that you'll always carry my smile with you, for all we have meant to each other and for whatever the future may hold"

Tuesday

It is all about Gucci kwa Vijana wa kiume!!-


GUCCI 2010 Male style recreation sweater
I heart this one kama asemavyo nuru the light!!
Gucci bag

Kama tunapenda product za Gucci tujitahidi kuvaa Original basi na sio hizo za mwenge ndugu zangu... zinakeraaaaaaaaaaaaaaa!! utaona mtu jina kubwa na ustaa umemjaa anajua kuwachambua watu while yeye alipo anafake gucci!! kama humu kama kweli una mapenzi ya Dhati na Gucci

Enzi hizo!! Uzuri asilia toka utotoni!! Jokate mwengelo

Asilimia kubwa ya mastaa wamekuwa wakificha picha zao za utotoni kutokana na kuona aibu kutokana na kuwa na muonekano tofauti na jinsi walivyo sana ila kuna baadhi ambao hawajali muonekano wao enzi hizo na sasa!! huyu hapa binti nimpendae kutokana na muonekano wake na taswira yake mbele ya jamii! anaweza kuwa na mabaya yake lakini kwa kutambua nafasi aliyonayo katika jamii anajitahidi sana kutunza heshima yake.. tangu utotoni alikuwa aking'ara kwa uzuri na mpaka hivi sasa bado anatishaaaaaaaaa!! hongera Jk kwa kushine since day one!

Oprah agundua ana dada walioshare Mama


Oprah Winfrey revealed live on her program today that her mother Vernita Lee gave up a child shortly after giving birth because she couldn’t afford to raise her. Oprah only learnt about the existence of Patricia, now 47, in November.

Patricia was placed into foster care before being adopted aged seven. The 56-year-old talk show host hailed the revelation the “miracle of miracles" and said the news left her "speechless".
Describing their first meeting as a “beloved moment”, she added: "It's not something I ever thought would happen to me.”

The TV star – who was living with her father Vernon Winfrey when Vernita had Patricia – made the decision to reveal her “bombshell family secret” herself because she feared it would be “exploited” if she didn’t.

Patricia – whose surname was not revealed – was then brought out to the audience, where she revealed she has two adult children, the first of whom she had when she was 17. Explaining how she found out Oprah was her half-sister, Patricia said she had initially seen Vernita discussing her three other children on a TV interview in 2007 and began to work out her place in family history after her son Andre went online and found the birthdates of his mother’s siblings.

Patricia said: "We realized that Oprah could be my sister." The single mother said she kept her connection to Oprah a secret because she didn’t want to cause a media circus. She added: "I did not want her hurt.”

Habari kwa msaada wa mtandao!

Saturday

Ubunifu ukizidi ni ukiukwaji wa Maadili

I just loved everything about this dress but kitendo cha kuiacha wazi hapo nyuma na kuonyesha hayo maeneo ya makalio sio jambo jema.. kwa nchi za wenzetu inaweza kuwa sawa lakini kwa hapa kwetu ni Noumaaaah! Mungu atuepushie mbali katika ubunifu wetu tusifike huku

kitumbo cha Natalie Portman chaonekana uzuri katika 2011 Golden Globes

Mshindi wa tuzo ya uigizaji bora katika drama... Natalie ajaribu kukaficha katumbo kake ndani ya gauli lililobuniwa vema na Viktor & Rolf lakini wapi... waswahili wanasema..... pembe la ng'ombe halifichiki

Thursday

Launching Party ya Kilimanjaro music Awards 2011 @ Double Tree

Kufungua pazia muite Elizabeth michael!! binti yangu wa shule ambae anapasua anga la kuburudani tanzania kwa kuwaacha watu na midomo wazi!!!
Apart from music...Amini he is my future nanihiii........
kikosi cha maangamizi ya starehe.. kushoto ni kamwene Hud,Silvia shari,Martin na Myler
Noel ndale, Jokate Mwegelo,Miss Tz Gen na Martin pembeni
Cute dress
nyinyi ni maswahiba???

Mwasiti..."Barnaba nilikuambia sipendi mazoea mbele za watu!! kuniandikia hiyo kisa pombe isiwe tambu" si unamuona B dozen anazuga anapiga picha kesho katika zilizomake headline utasikia hii kitu!! shauri yako
hivi hizi pozi za mwasiti na barnaba zilikuwa za camera hii au nyingine? naona pozi huku lakini macho huko!!
Make up artist wakutegemewa Rehema, martin Kadinda na Giver meena!!
Wala usiniseme gauni yangu fupi we sauda kazana kula tunyama hutu maana tutamu sana!! kwetu Clouds tunakula kila siku fanya mpango uje utanenepa!!
Martin kadinda, mwasiti almas na hamis mandi......
I love everything about Your style jamaa zangu but hiyo mikanda kuigeuza nyuma mbele ni swagger au? i dont see anything good about it!!
it has been long time toka nimekutana na Tayana!! was nice seeing her! looking fine!! kitu cha coloured juu kichwani kwa fashionista Penny na gauni la Lace... Hapana chezea yeye!!
kitu cha red carpet kiliwagusa wadada wazuri wa mjini!!
Penny ndani ya pure lace dress na mimi nina pure DnG tishert na dini la black diamond shingoni!!!! poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooa!
Chaz baba katikati na wadau walikuwepo kuhakikisha wanatoa support ya kutosha kwa Kilimanjaro!!
Kikosi kizima cha madada zangu, kushoto Hawa Ismail, Dina na kulia yupo Kimora Lee bila kumsahau Benny kinyaiya hapo kati!!
Anatambulika kama super model Myler na my dada Mboni masimba looking howt!!
Anapasua anga ya Fashion Bongo... bibie Marsha Seif... kitu cha pochi pembeni hapo... Yaani ni balaaa
Wengi wanamtambua kama Stara Thomas ila mimi nambatiza miss Elliot wa Tz akiwa na Chiiiiid Benz...
Apart from Music i can keep up with Fashion bana... Luiza mbutu!!