FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

KWA KIFUPI: NIMETUA NEW YORK-MAREKANI JIONI YA LEO


JIJI NI SAFI AND LIMEJENGWA KISANIFU.

FEW PICTURES MOMENT AT AMSTERDAM WAKATI NIKO TRANSIT.


NILIPANDA NDEGE MOJA NA VANNESA MDEE AMBAYE YEYE TULIACHANA HAPA AMSTERDAM AMBAPO ALIRUKA KUELEKEA ALTANTA WAKATI MIMI NAKUJA NEW YORK... FOR MORE UPDATES PITA PITA HAPA AMBAPO NITAKUWA NAKULETEA MATUKIO YA KILE KILICHONILETA MAREKANI


Monday

WEEKEND MING'ARO

WITH MY GIRL... THAT CRAZY TANZANIAN TOP MODEL MYLER NYANGASA.... AM WEARING MARTIN KADINDA'S SHIRT


U GOT THAT INTERNATIONAL BODY.
WALIKUWA MAJUDGE WA AR2013 COLLECTION MODELS CASTING.

I TRULY LOVE ROSEMARY(FASHION JUNKII) ON MY LEFT SIDE.. SHE IS A STYLIST LIVING IN NEW YORK.AMEKOSEKANA ALLY REMTULLAH, ALFIE MINJA, MISSIE POPULAR AND BRYAN KUKAMILISHA TEAM NZIMA YA AR2013 PICHA KWA HISANI YA ZAINUL MZIGE


SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIII: NANCY SUMARI WITH HER NEW TREND(KILEMBA)

NANCY SUMARI NIMEAMINI UZURI WAKE SIO WA MPITO... BEEN A GIRLFRIEND WITH TANZANITE RING ..... MOTHER AND YET MJASIRIAMALI NA BADO UZURI WAKE UMESIMAMA PALE PALE NAMPA HESHIMA.... SHE IS MORE THAN JUST A BEAUTY QUEEN.. HUYU NI MMOJA KATI YA WASICHANA WAWAKITANZANIA AMBAO NINAPENDA KUFANYA NAO KAZI....

POST YANGU HII ILIKUWA KUTOA SIFA KWAKE KWA KUJA NA HII STYLE YA KUFUNGA KILEMBA KATIKA MAENEO MENGI AMBAYO NIMEKUTANA NAE HIVI KARIBUNI........ HAYA SASA ODEMBA ALIKUWA NA STYLE YAKE YA UFUNGAJI WA KILEMBA NA IKAVUMA MPAKA LEO.. NANCY SUMARI NAE ANAKUPA YAKE HIYO HAPO YENYE FUNDO MBELE KUSHOTO.

Saturday

LULU MATHIAS...KIMWANA WA MANYWELE..aka "Aunt Lulu" WHAT WENT WRONG??
SINA TATIZO NA MTU ILA NAHISI KAMA KUNA KITU AKIPO SAWA HAPA... SIJUI KAMA NAKOSEA... KILA NIKIKUTANA NA PICHA ZA LULU KATIKA MTANDAO WAKE WAKIJAMII NASHTUKA SANA... LULU KUNA NINI?

Friday

WEMA SEPETU.. AWA KIVUTIO KIKUBWA SERENGETI FIESTA MOSHI 2012

STAR MBAYE UMAARUFU WAKE KWA TAKRIBANI MIKA 7 HAUKUWAHI KUSHUKA... BEAUTIFUL ONYINYE.. KUBWA LA MAADUI LISILOKUFA MPAKA MWISHO WA MOVIE.... WEMA SEPETU AMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA MJI WA MOSHI BAADA YA KUONEKANA PANDE HIZO...

AKIWA NA STAR MWENZIO AMBAYE ANATARAJIWA KUOLEWA HIVI KARIBUNI AUNT EZEKIEL

MULI BLING BLING ALIMUA KUJIWEKA KARIBU YA MABINTI HAWA ILI KUTAKATISHA NYOTA YAKE... HEHHEHEHHEHE

MEDIA KAMA KAWAIDA YAO HAWAKUACHA KUPATA EXLUSIVE ZA BINTI HUYU MWENYE UZURI AMBAO HATA WACHORAJI WA PICHA HAWAKUWEZA KUUCHORA.

FANS ALL OVER AROUND MOSHI WALITAKA KUPATA NAFASI YA PICHA NA YEYE... MORE UPDATES ZINGOJE HAPA HAPA..

Mapenzi Ya Diamond kwa Mama Yake mzazi TOKA KITAMBO


HOUSES HOUSES HOUSES.... NARUKWA NA AKILI NIKIONA NICE INTERIOR DESIGNS ZA NYUMBA
Thursday

JACKLINE NTUNYABALIWE "KLYINN" NGOMA INOGILE: ASHIKA MIMBA NA ANATEGEMEA KUWA MAMA HIVI KARIBUNI

YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA UZURI WAKE AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA MASTAA KIBAO WA MBELE WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA... KLYINN AMBAYE ALIAMUA KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA.. SI UNAMJUA? DONT ASK ME ANYTHING... MLIOKUWA MKIPREDICT HAWAWEZI KUFIKA MBALI KATIKA MAHUSIANO YAO SASA MMEUMBUKA AS KLYINN AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA...

FOR MORE UPDATES PITA HAPA HAPA.

Tuesday

9 TO 9 WOMAN'S LOOK BY MARTIN KADINDA AT DAR FASHION FESTIVAL...:KIVUMBI COLLECTION

NDANI YA KIVUMBI COLLECTION KULIKUWA NA 9 TO 9 WOMAN'S LOOK... WHY 9 TO 9?? BECAUSE ITS ONE OF THEM LOOKS AMBAYO UTAVAA 9AM UNAPOINGIA JOB NA UTAENDA NAYO KATIKA COVTAIL PARTY 9PM NA HAKUNA ATAKAYEKUULIZA KWAKUWA UMEVAA 9AM TO 9PM.... WALE DADA ZANGU WA MAOFISINI MNAOSHINDWA KURUDI HOME KUCHANGE PINDI UNAPOPATA MWALIKO... TUTAFUTANE BASI UNG'AE NA 9 TO 9

Monday

KIVUMBI COLLECTION BY MARTIN KADINDA@ DAR FASHION FESTIVAL:
FROM 9TO9 OFFICE LOOK UP TO COCTAIL LOOK... IT WAS ALL ABOUT MARTIN KADINDA
NAKUONJESHA YALE YALIOJIRI SIKU YA JANA KATIKA SHOW YA DAR FASHION FESTIVAL.....