FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

WEMA SEPETU.. AWA KIVUTIO KIKUBWA SERENGETI FIESTA MOSHI 2012

STAR MBAYE UMAARUFU WAKE KWA TAKRIBANI MIKA 7 HAUKUWAHI KUSHUKA... BEAUTIFUL ONYINYE.. KUBWA LA MAADUI LISILOKUFA MPAKA MWISHO WA MOVIE.... WEMA SEPETU AMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA MJI WA MOSHI BAADA YA KUONEKANA PANDE HIZO...

AKIWA NA STAR MWENZIO AMBAYE ANATARAJIWA KUOLEWA HIVI KARIBUNI AUNT EZEKIEL

MULI BLING BLING ALIMUA KUJIWEKA KARIBU YA MABINTI HAWA ILI KUTAKATISHA NYOTA YAKE... HEHHEHEHHEHE

MEDIA KAMA KAWAIDA YAO HAWAKUACHA KUPATA EXLUSIVE ZA BINTI HUYU MWENYE UZURI AMBAO HATA WACHORAJI WA PICHA HAWAKUWEZA KUUCHORA.

FANS ALL OVER AROUND MOSHI WALITAKA KUPATA NAFASI YA PICHA NA YEYE... MORE UPDATES ZINGOJE HAPA HAPA..

6 comments:

 1. Anonymous09:10

  like u wema

  ReplyDelete
 2. Anonymous03:17

  wema jamani anabamba tuache utani upo juu mtoto

  ReplyDelete
 3. Anonymous12:43

  wema mtoto mkali

  ReplyDelete
 4. Anonymous07:21

  wema nampenda... sana kwa hapa bongo ni moja kati ya watu ninaowakubali kwa kazi zao na juhudi katka kujitafutia maisha ongeza juhudi mama..big up wema

  ReplyDelete
 5. Anonymous20:21

  wema mzuri jamani khaa! Kim K wa bongo wa ukweli sorry Mbonie

  ReplyDelete
 6. Anonymous11:40

  wema upo juu mama yn ako kajokate sijaonaga
  diamond mpende wema akungarishe men achana na vipapatio kula nyama ukue

  ReplyDelete

sema tukusikie