FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

1st FRIDAY.......MARCH 2013


Tuesday

WEMA SEPETU SPECIAL APPEARANCE AT 8020FASHIONS WOMEN CELEBRATION 2013

DIVA WA FILAMU BINTI WA SEPETU... WEEKEND HII ATAKUWA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.. TEAM YAKE IKO MAKINI KUFATILIA KIWALO ATAKACHOVA MDADA HUYU... MWANAMKE WA MJII HUU UTAKUWA WAPI SIKUHIYO? LETS MEET AT DIAMOND JUBILEE VIP HALL BASI. BAADA YA HAPO WEMA ATAKUWEPO TRAVETINE HOTEL KATIKA UZINDUZI WA WIMBO WA MWANADADA DIDA.. UNAJUA KAMA DIDA APART FROM UTANGAZAJI PIA NI MWIMBAJI?


ZIMENIVUTIA FROM OSCARS
Friday

TOP 3 HOTTEST CELEBRITY COUPLE 2013

ZIMBIO NI MTANDAO MKUBWA DUNIANI AMBAO UNA DEAL NA MAISHA YA MASTAA NA NEWS ZA BURUDANI KIUJUMLA... HIVI KARIBUNI WAMETOA LIST YA MASTAA PENDA NA WENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI... JAY Z AND BEYONCE AT THE FIRST SPOT.

RANK INAONESHA,,,, BRAD PITT AND JOLIE TAKING IT AGAIN THE SECOND SPOT.

MWANAMITINDO VICTORIA NA FOOTBALLER DAVID BECKHAM AT THE THIRD PLACE.

Monday

GRAMMY AWARDS 2013 : BEST DRESSED MALE CELEBRITIES


Breezy was in Lanvin suit

Trey Songz looked so fine in Moschino  Drake rocked a YSL suit

am so looking forward for KILI MUSIC AWARDS TZ

From Grammy Awards 2012

Love..... Love..... Love.... All oveSaturday

Miley cyrus: Hana mpango wa kurudi katika nywele ndefu tena...

STAR WA DISNEY CHANNEL..  MILEY CYRUS AU MAARUFU KWA JINA LA HANNA MONTANA AMEFUNGUKA KUWA HUU MUONEKANO WAKE MPYA WA NYWELE FUPI ATADUMU NAO KWA MUDA MREFU NA HANA MPANGO WA KUWEKA NYWELE NDEFU.. ANASEMA MPENZI WAKE ANAZIPENDA NYWELE FUPI NA ANAONA HAZIMPI UZITO.... KAMA NDUGU YANGU U DONT LIKE IT NA WEWE NI FAN WAKE JITAHIDI KUZIPENDA MAANA HANA PLAN YA NYWELE NDEFU ANYTIME SOON.

ASIA IDAROUS'S LADY IN RED 2013 FASHION SHOW: WE ARE OOOOON!!


Maandalizi ya ukumbi tayari kwa ajili ya Lady in Red 2013 upgraded kama unavyoona....

RED CARPET KUANZIA UNAPOKAGULIWA TICKET YAKO MPAKA NDANI KUNAKO UKUMBI..

STAGE AND LIGHTING PEOPLE  ALL BUSY FOR SETTING UP.
AM JUST LOOKING SO FORWARD FOR TONIGHT.

Thursday

FASHION ON POINT: MARTIN KADINDA, FRIDAY LOOK

SHOES: STEVE MADDEN, PANT: H&M, SHIRT: MARTIN KADINDA

KUMBUKUMBU: ALEXIA, KADINDA AND FLAVIANA MATATAFASHION ON POINT : OLIVIA POPE (KERRY WASHINGTON) LEADING ACTRESS: SCANDAL SERIES

SOMO LA BURE KWA WAANDAAJI WA FILAMU ZA KITANZANIA NA KWINGINEKO.. WARDROBE INAWEZA KUMJENGA MSANII AU KUMBOMOA... OLOVIA POPE KWA ALIYESIMAMIA MAVAZI KATIKA HII SERIES AMETENDA HAKI.. SHE HAS BEEN SEEN WITH SAME GRAY PATTERN JACKET BUT WITH DIFFERENT LOOKS... UKIANGALIA SEASON ONE AND SEASON 2 KUNA BLAZER MOJA YA GREY NA INAVIFUNGO MPAKA JUU PEMBENI VIKUBWA.. AMEIRUDIA RUDIA SANA ILA KABADILISHA BLOUSE NA STYLE YAKE YA KUVAA CHENI JUU NDEFU....

HII YOTE NI KUONESHA SHE IS A BUSY WOMAN AND HANA MUDA WA KUFANYA SHOPPING SANA... HATA MUONEKANO WA NYWELE NI ULE ULE ULITUMIKA MWANZO MWISHO... RANGI KUBWA ALIZOTUMIA NI GREY AND CREAM... TAKE YOUR TIME TO GO THROUGH HER WARDROBE.


Wednesday

KEEPING ME LOCKED : SCANDAL SEASON 1&2

NIMEKUWA MFUATILIAJI MZURI WA SERIES YA VAMPIRE DIARIES KWA KIPINDI KIREFU ILA HIVI JUZI NIMEAMUA KUTAFUTA ANOTHER SERIES AMBAYO ITAKUWA INA UTOFAUTI NA ILE YA VAMPIRES.... KATIKA PITA PITA ZANGU NIMEKUTANA NA HII SERIES YA SCANDAL... KIUKWELI IMENITEKA.. NIKIMALIZA SHUGHULI ZANGU FASTER NARUDI HOME KUICHECK.. IT FEELS LIKE NA MIMI NIPO HUMU NDANI YA SERIES... EVERYTHING IS SO ALIVE...  KERRYWASHINGTON NDIO LEADING ACTRESS AMBAYE ANACHEZA KAMA OLIVER POPE.... OLIVER POPE AMEDEDICATE MAISHA YAKE KATIKA KUSAIDIA MAISHA YA WATU MBALI MBALI... NA SHERIA YAKE KUBWA NA KUSHINDA KESI ZAO NA KUHAKIKISHA SIRI ZAO HAZITOKI... KATIKA BACKGROUP YA SERIES TUNAONYESHWA KUWA OLIVER POPE ALIKUWA MTARI WA MBELE KATIKA KAMATI YA UFUNDI KUHAKIKISHA GAVANNA ANASHINDA URAHISI NA WAKATI HUO HUO HISIA ZA MAPENZI ZINAAMKA KATIKATI YAO LAKINI INAKUWA NI NGUMU WAO KUWA PAMOJA KWANI GAVANNA BAADA YA KUSHINDA URAHISI INABIDI ADEDICATE MAISHA YAKE KWA MKEWE NA NCHI KWA UJUMLA.. AISEE KUNA MAMBO MENGI HUMU NDANI UKIANZA KUANGALIA HAUTATAKA KUIKATISHA... KIKUBWA AMBACHO NIMEKIPENDA HUMU NDANI NI UVAAJI? KERRY WASHINGTON NI KAMA YUPO KATIKA FASHION SHOW..... YEYE PAMOJA NA COLUMBUS SHORT KWA UPANDE WA WANAUME NDO WAMEFUNIKA BALAA... ON MY NEXT POST AM GOING TO POST THEIR BEST LOOKS ON THIS SERIES.

Tuesday

ALICIA KEYS AKASHIFIWA KWA KUIMBA WIMBO WA TAIFA HUKU AMEKAA

MWANAMZIKI MAHIRI NCHINI MAREKANI ALICIA KEYS AMEKASHIFIWA KUWA HANA HESHIMA KWA KUIMBA WIMBO WA TAIFA AKIWA AMEKAA KATIKA FAINALI ZA SUPER BOWL, BAADHI YA WAMAREKANI WAMESEMA SWALA LA ALICIA KEYS KUIMBA HUKU AMEKAA KWA KISINGIZIO CHA KUPIGA KINANDA KIMEWAKERA KWANI WAANDAAJI WA SHUGHULI HII WALIPASWA KUANDAA  MAZINGIRA MAPEMA BEFORE HILI HALIJATOKEA.

WATCH THIS SHOW AND TELL ME... IS THERE ANY BETTER THAN KELLY ROWLAND?