FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

KEEPING ME LOCKED : SCANDAL SEASON 1&2

NIMEKUWA MFUATILIAJI MZURI WA SERIES YA VAMPIRE DIARIES KWA KIPINDI KIREFU ILA HIVI JUZI NIMEAMUA KUTAFUTA ANOTHER SERIES AMBAYO ITAKUWA INA UTOFAUTI NA ILE YA VAMPIRES.... KATIKA PITA PITA ZANGU NIMEKUTANA NA HII SERIES YA SCANDAL... KIUKWELI IMENITEKA.. NIKIMALIZA SHUGHULI ZANGU FASTER NARUDI HOME KUICHECK.. IT FEELS LIKE NA MIMI NIPO HUMU NDANI YA SERIES... EVERYTHING IS SO ALIVE...  KERRYWASHINGTON NDIO LEADING ACTRESS AMBAYE ANACHEZA KAMA OLIVER POPE.... OLIVER POPE AMEDEDICATE MAISHA YAKE KATIKA KUSAIDIA MAISHA YA WATU MBALI MBALI... NA SHERIA YAKE KUBWA NA KUSHINDA KESI ZAO NA KUHAKIKISHA SIRI ZAO HAZITOKI... KATIKA BACKGROUP YA SERIES TUNAONYESHWA KUWA OLIVER POPE ALIKUWA MTARI WA MBELE KATIKA KAMATI YA UFUNDI KUHAKIKISHA GAVANNA ANASHINDA URAHISI NA WAKATI HUO HUO HISIA ZA MAPENZI ZINAAMKA KATIKATI YAO LAKINI INAKUWA NI NGUMU WAO KUWA PAMOJA KWANI GAVANNA BAADA YA KUSHINDA URAHISI INABIDI ADEDICATE MAISHA YAKE KWA MKEWE NA NCHI KWA UJUMLA.. AISEE KUNA MAMBO MENGI HUMU NDANI UKIANZA KUANGALIA HAUTATAKA KUIKATISHA... KIKUBWA AMBACHO NIMEKIPENDA HUMU NDANI NI UVAAJI? KERRY WASHINGTON NI KAMA YUPO KATIKA FASHION SHOW..... YEYE PAMOJA NA COLUMBUS SHORT KWA UPANDE WA WANAUME NDO WAMEFUNIKA BALAA... ON MY NEXT POST AM GOING TO POST THEIR BEST LOOKS ON THIS SERIES.

1 comment:

  1. Anonymous02:24

    hujatujulisha ni Chanel gani? it sounds interesting!!!

    ReplyDelete

sema tukusikie