FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

WASICHANA MAARUFU BONGO WATANO WENYE MVUTO ZAIDI....

 Wema Sepetu...I just love her voice,lips, skin tone and that caring heart
Lulu Michael she knows sifa zake zote ambazo nilikuwa nampa kila siku tukiwa wote... her smile huwa linaninyong'onyeza kabisa. Ana heshima, ni mwelewa na ni Jambazi wa hisia za watu.. akiamua kuiteaka tanzania kwa hisia tu anaweza

Jackie cliff.... am sure hapa sipo peke yangu bana kwa kutokwa na udenda... look at her sexy body.... kimwili kisichokomaa!! ana akili na ni mtafutaji katika maisha.. in her Young age she is married and managed to kip her life more personal

Tune to 88.4Fm utajua nini kimeniteka kwa huyu mtoto....mke wangu akikosa sauti ya Wema apewe  Ya Diva Lovess love... anateka vijana wengi muda wa show yake ukifika... mahusiano yamevunjika sababu ya watu kusikiliza show yake badala ya kula chakula cha usiku na wapenzi zao

JOKATE URBAN MWEGELO.......  GIRL WITH SWAG.........AKILI KUMKICHWA......KICHEKO CHAKE CHA KITOTO  WITH KAKIUNO KADOGO DOGO.

15 comments:

 1. elisa21:08

  Me hapo, nimekubali kwa jack na wema ,nawapenda sana hao wadada jinsi walivyo na mvuto,jack cliff ana natural color imemzidishia uzuri, wema kidogo utata kwenye ngozi sijui ni mikorogo au lah !ila still i love her !

  ReplyDelete
 2. wema ni best of the best yani.sauti .umbo.tabasamu yani she.so sweeeet i luv her no matter wat

  ReplyDelete
 3. Anonymous05:33

  Jk umempendelea hana lolote wengine wote hao ni waukweli

  ReplyDelete
 4. dah mimi apo na mpa jokate na wema 100% the athers
  just 95%

  ReplyDelete
 5. Anonymous04:32

  wema juu na lulu wengine no sio choice yangu nadhani umemsahau nancy sumari

  ReplyDelete
 6. Anonymous01:58

  jaman hadi diva???we martin embu badili list hiyo!!!

  ReplyDelete
 7. Anonymous03:43

  wema and lulu z the best

  ReplyDelete
 8. Anonymous05:35

  umemsahu IRENE UWOYA lol , jokate na Diva hawana mvuto hata kidogo

  ReplyDelete
 9. Anonymous10:44

  Wema na lulu tu!

  ReplyDelete
 10. Anonymous10:15

  Du!Wote hao hawampati my wife.

  ReplyDelete
 11. Anonymous03:31

  diva sio maarufu jamani ni mtu tu anajulikana na watu kadhaa

  ReplyDelete
 12. Anonymous00:25

  TISA KUMI WEMAAAAAAAA FUNIKA BANA

  ReplyDelete
 13. Anonymous00:43

  Wema kafunika wotee..

  ReplyDelete
 14. Anonymous08:51

  pitia link hii http://ThePaidTask.com/?refcode=37694

  ReplyDelete
 15. Anonymous08:37

  jokate moto chini

  ReplyDelete

sema tukusikie