FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

MANGE KIMAMBI Vs RAY KIGOSI

NDUGU ZANGU BEEN A BLOGEER DOESN'T MEAN NAJUA KILA KITU.... NIMESHANGAA WATU MNANIANDIKIA EMAIL NA COMMENTS ZA AJABU NIWEKE SAKATA LA MANGE NA VICENT KIGOSI...... AM SURE YOU ALL KNOW SIWEKAGI HABARI ZISIZONIHUSU KWAKUWA  HII BLOG YANGU NAWEKA VITU VINAVYONIVUTIA NA NDIO MAANA NAIITA MVUTOKWANZA... SIJUI LOLOTE ABOUT MANGE NA RAY KUWA NA MATATIZO HIVYO NAOMBA NISIANDIKE LOLOTE ZAIDI YA KUPITIA BLOG MBALI MBALI NA KUSAFISHA MACHO.... MIMI NA NYINYI TUZUNGMZE ABOUT MSANII WANGU WEMA SEPETU AU SINGLE BUTTONS.....

1 comment:

  1. Anonymous14:32

    Safi sana Martin, hao wadaku waambie mambo haya hayanihusu au its none of my business!!

    ReplyDelete

sema tukusikie