FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Shemeji Amber Rose huyu hapa na Kanye West


Nahis kama relationShip ya hawa watu wawili inaweza kufika mbali au isifike mbali... unajua ni kwanini? wote wawili wamekutana ni vichwa na wana akili sana katika swala zima la kufanya kazi zao kwa umakini, ili kujiingizia mkwanja wa kueleweka, Amber Rose yeye ni mwanamitindo maarufu(Model) wakati mchizi ni Mwanamziki maarufu na mwenye jina kubwa katika anga zima ya burudani!!
Man!! this couple is very hoot!!

unajua kama Timberlake ndo anayeisimamia album Mpya ya Rihanna as a producer?Kumbuka Collabor la Rehab? na nyinginezo zijazo!! unadhani hii album itakuwaje?

Justin anasema:
In my opinion, she’s got the world in the palm of her hand right now, based on her success with her last record,”
........ “The stuff we’ve come up with in the studio, it’s the next step for her. It’s a little more grown up. It’s got some edge to it.”
hayo ndo maneno ya mchizi


Am really looking forawd for this Rihanna's new album!!

Tuesday

Grammy awards Red carpet appearance 2009


Jonh Mayer 2009 Grammy award Winner


Carrie-Underwood award WinnerI wish wangehudhuria pamoja this Year katika Grammy awards!! but ndio hivyo tena... hakuna marefu yasio na ncha!!


Jennifer Shines !!


Still hot!!Is she worst Dressed?
At the 51st Annual Grammy Awards it is sad to say that only 5 people made our Best Dressed List (including Katy Perry for being the Best of the Best Dressed). This year Miley Cyrus looked pretty, proper and prim. Cyrus was just perfect! Kate Beckinsale, although we’re quite tired of seeing her in mermaid gowns, we can’t deny they look darn good on her. Michelle Kwan and Taylor Swift also looked extremely elegant (The Jonas Brothers must be eating their hearts out). Good job ladies!
Letoya at grammy


colour selection is everything on red carpet
solange alikuwepo

Hii ndio List ya Grammy award winners kama huji ndugu!!
2009 Grammy Awards winners

Album of the Year - Robert Plant and Alison Krauss, Raising Sand

Best Rap Album - Lil Wayne, Tha Carter III

Best Male Pop Vocal Performance - John Mayer, ‘Say’

Record of the Year - Robert Plant and Alison Krauss, Please Read the Letter

Best New Artist - Adele

Best Rock Album - Coldplay, Viva la Vida

Best Pop Collaboration With Vocals - Robert Plant and Alison Krauss, ‘Rich Woman’

Song of the Year - Coldplay, ‘Viva la Vida’

Best Country Performance by a Duo or Group - Sugarland, ‘Stay’

Best R&B Album - Jennifer Hudson, Jennifer Hudson

Industry Icon Award - Clive Davis

Best Rock Song - Bruce Springsteen, ‘Girls in Their Summer Clothes’

Best Rock Instrumental Performance - ‘Peaches En Regalia,’ Zappa Plays Zappa, Featuring Steve Vai & Napoleon Murphy Brock

Best Metal Performance - Metallica, ‘My Apocalypse’

Best Hard Rock Performance - The Mars Volta, ‘Wax Simulacra’

Best Rock Performance by a Duo or Group With Vocals - Kings of Leon, ‘Sex on Fire’

Best Solo Rock Vocal Performance - John Mayer, ‘Gravity’

Best Alternative Music Album - Radiohead, In Rainbows

Best Pop Vocal Album - Duffy, Rockferry

Best Pop Performance by a Duo or Group With Vocals - Coldplay, ‘Viva la Vida’

Best Female Pop Vocal Performance - Adele, ‘Chasing Pavements’

Best Contemporary R&B Album - Mary J Blige, Growing Pains

Best R&B Song - Ne-Yo, ‘Miss Independent’

Best Urban/Alternative Performance - Chrisette Michele Featuring Will.i.am, ‘Be OK’

Best Traditional R&B Vocal Performance - Al Green Featuring Anthony Hamilton, ‘You’ve Got the Love I Need’

Best R&B Performance by a Duo or Group With Vocals - Al Green Featuring John Legend, ‘Stay With Me (by the Sea)’

Best Female R&B Vocal Performance - Alicia Keys, ‘Superwoman’

Best Male R&B Vocal Performance - Ne-Yo, ‘Miss Independent’

Best Rap Song - Lil Wayne Featuring Static Major, ‘Lollipop’

Best Rap/Sung Collaboration - Estelle Featuring Kanye West, ‘American Boy’

Best Rap Performance by a Duo or Group - Jay-Z and T.I. Featuring Kanye West and Lil Wayne, ‘Swagga Like Us’

Best Rap Solo Performance - Lil Wayne, ‘A Milli’

Best Traditional Pop Vocal Album - Natalie Cole, Still Unforgettable

Best Country Album - George Strait, Troubadour

Best Country Song - Sugarland, ‘Stay’

Best Country Collaboration With Vocals - Robert Plant and Alison Krauss, ‘Killing the Blues’

Best Male Country Vocal Performance - Brad Paisley, ‘Letter to Me’

Best Female Country Vocal Performance - Carrie Underwood, ‘Last Name’

Best Electronic/Dance Album - Daft Punk, Alive 2007

Best Instrumental Arrangement - Peter Gabriel and Thomas Newman, ‘Define Dancing’ (From Wall-E)

Best Instrumental Composition - ‘The Adventures of Mutt’ (From Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull)

Best Song Written for Motion Picture, Television or Other Visual Media - Peter Gabriel and Thomas Newman, ‘Down to Earth’ (From Wall-E)

Best Score Soundtrack Album for Motion Picture, Television or Other Visual Media - James Newton Howard and Hans Zimmer, The Dark Knight

Best Compilation Soundtrack Album for Motion Picture, Television or Other Visual Media - Juno

Saturday

Its a Baby Boy!! Jennifer Hudson's


Jamani mwanadada Jennifer hudson ndo huyo ameshajifungua Dume la mbegu, limekuja kuwashika!

Friday

Fashion weeks spring/summer Best designed


A model walks down the catwalk during the MAN Fashion show wearing designs by Deryck Walker at the Brewer Street NCP Car Park as part of London Fashion Week


I really liked this transparent shirt with those bootsSkin jeans still hits in Paris
Shining in white colour as always

Altitude is everything in modelling industry!!it can be black but with some additional to make it beautifulMuch in colours

Thursday

Breaking New!! Nelly Kamwelu,Former Miss Ilala Planning to be Engaged soonShines more than never Before.. lol
Kama mastar wa movie yakihindi vile!!She is among the people i support on whatever she wanna do in her life!! the resoan behind is because she really respect me and understand me!! i met her last week and She was very nervous to tell me what she wanted to tell, in my mind i thought maybe she has problems!! kumbe si chochote zaidi ya hiyo breaking News ya kuwa nategemea kuwa Engaged soon, amekuwa katika relationship for more that 3Years so anaaamini amemjua mchizi vya kutosha na sasa niwakati wake wakuwa Engaged about kuolewa kabisa anasema bado kidogo, itachukua muda kwa yeye kuamua kuolewa kwa sababu anaamini ndoa ni jambo la Heri hivyo si lazima kufanya mambo haya haraka haraka!!

Tuesday

Each moment in my life is full of happiness


Me and my man!!Najuta kwanini sikuolewa mapema

I wonder kipi kinanifaha mimi hapa!!!!Thanx for being my Fan... nawapenda na kuwajali
Lady Jay Dee, Binti machozi

Sunday

The job I did recently at my working station, as a Graphic DesignerAnd i was supervised by...

My shoe,My style!!

kila mtu anastyle yake ya uvaaji na kwa wakati anaojua Yeye!! hii ndio style yangu mimi ya Uvaaji viatu!! My Best shoes Design is GEOX na ni ukweli ulio wazi!! wanaonijua mimi kwa undani watalikubali hilo? how much it cost? just goolge it!!!

muda huu hiki ndicho kipo mguuni mwangu!!
I wish ningekipata hiki kwa ajili ya zile party zetu za facebook ambazo dress code huwa ni Casual mara nyingi.. hichi kingeendana na wakati huo!!
Dress code ikianimbia Smart!! I will go with this one!! or the next one down here

Hii itanifaa kwa kuendea beach!!


What is your style??

Friday

jicho langu wiki hii!!


Wanna became a photographer so ur learning au mdau kaomba umtizamie?After being a beauty Queen umekuwa make up artist au ulikuwa tu unamsaidia mrembo?Sijaelewa hapa! unataka kuwa Dj? au ni style yako unayotumia now days kudhihirisha no matter what your having u can still be Sexy man as Diva recognised you?HApo kwenu au ugenini? umekaribishwa au umejikaribisha?Umeamua kuachana na ubunifu na kuwa Model? sijaelewa bado!! au unataka kulibunia jiwe nguo?

Mwanamke Hulka!!


Mamaa Geha wa Heka heka!!


Unajua mara nyingi huwa nacheka sana nikipata nafasi ya kusikiliza leo tena hata kama ni kwa dakika kumi tuu! hasa katika ile segment ya heka heka!! leo nilipata bahati ya kuzama mpaka studio nikasikie live instead of kusikiliza redioni!! Man , mbavu nilikuwa sina! hawa wadada siwatukani ila nahisi ni vichaa!! Yaaani they know how to intertain their audiance!!
!!

Hair Talk!!
Yo my people! leo nilipata chance ya kupita pande za ofisi flani flani hapa town nikakutana na MTV BASE presenter Vannesa!! kilichonifurahisha kutoka kwake ni jinsi anavyojiweka fresh!! Duh! mdada anang'aa ile mbaya!! nikaona si mbaya kama nikikuletea picha ya style yake ya nywele!! Because nimeona nywele yake inaongea ile kichizi!

Thursday

More suprise to come!!


Anatambulika kama Moracka na amejizolea umaarufu zaidi kupitia kipindi cha Ala za roho cha cloudsfm kinachoendeshwa na mwanadada Loveness Love baada ya kushinda taji la The Sexiest Man in Dar na kuwabwaga wakali kama Luca na Ben na wengineo kibao!! Juzi kati nilipata bahati ya kukutana na mshikaji maeneo flani ya kujidai katikati ya jiji na nilimuuliza vimaswali vyakizushi bwana!

Me: unajisikiaje kutambulika kama The Sexies man in dar?
Mo: honestly am happy and am proud of myself bro.

Me: unadhani ulipendelewa kwa njia yoyote kushinda taji hilo?
Mo: kaka ulikuwa haufatilii nini shindano? kwanza yule mdada aliyeandaa shindano nilikuwa sijuani nae by that tym so sidhani kama angeweza kunipendelea mtu asiyenijua, then Watnzania ndio walikuwa wanapiga kura!! so wao ndo wamechagua nani mshindi! swala la kupendelewa mimi silijui kabisa!!


Me: Do u have anyplan in this Entertainment Industry?
Mo: yes!! alot of!!

Me: And what is your plan so far??
Mo: ahha ahha ahaa haha aha cant tell You right now! but what i can tell u! open your Eyes and ears utajua tuu soon

Saturday

Ni aina gani ya Perfume inakufaa??


Mambo mix For You!!


Hah ahha ahha u cant believe hata barack obama Perfume inakufaa kama una dau la kueleweka!!No need to dream any more! they have Dreamer for you!Hii hapa Desire!! man, am sure every woman will be atracted to u as soon she Smells this Perfume in ur body!!
Among the top Selling perfume!! here we have Dorce and GabbanaHave u Tried Kelvin Klein? Man!! this is the best although very Expensive here in dar.
Cool Water ni among the perfumes nazikubali na ndio ninayoitumia(But am using cool water for man)... hii Cool water freeze me inawafaha wadada na ina harufu ambayo hawezi kumkera mtu. i mean manukato yake poa sana