FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

Malkia Wa night ExpressBibie Sophia Kessi kwake urembo ni jambo la kumfurahisha hasa unapotunza ngozi yako kwa vimelea asili na kuachana na vipodozi vinavyotegenezwa viwandani! Ngozi yake ni maridani na anajivunia zaidi kuwa mwafrika!!

Anakwambia kunywa maji kwa wingi na kula matunza ndio njia pekee inayomuwezesha kutunza ngozi yake Asili!

Kweli yeye ni mwannamke wakiafrika!!

4 comments:

 1. Anonymous00:45

  Mwenzangu huyu mdada kweli yupo kiafrika zaidi. hana mashauzi kama watangazaji wengine. au ameolewa ndo maana mpole hivyo?

  ReplyDelete
 2. Anonymous00:46

  he? mtu akiolewa ndo anakuwa hana mashauzi? nampenda sana sofia jamani

  ReplyDelete
 3. Anonymous08:05

  wabongo tutaacha lini kusemana? hatuwezi kuona jambo tukanyamaza? poa sofia anashine sana tuu

  ReplyDelete
 4. Anonymous01:17

  anajiheshimu tu mwenyewe wapo watu wameolewa lakini hovyo mashauzi utadhani hawaendi haja, BIG UP SOPHIA

  ReplyDelete

sema tukusikie