FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

miaka 50 ya Asia Idarous


Hivi haya matabasamu yametoka moyoni kweli?We Ali mbona umejimodosha badala ya kutabasamu kama wenzio?? Mustafar Hassanali aliudhuria shughuli hii ingawa alikuwa na uchovu wa safari....mzee wa libeneke pia alikuwepo...


Super Models walikuwepo pia kushuhudia mama Yao akizaliwa....Fidelin Iranga ndo aliongoza safu ya upigaji vigeregere bwana....

Aly rehmtulah alionyesha upendo wa dhati kwa binti yetu aliyezaliwa leo!! Ali kumbuka huyo mtoto wetu Khamsini alishaweka order kabla hata ajazaliwa...

shampagne... kama kawaida I-view photography waliletaa uhondo zaidi katika party hii... International Photographer Raqey akimmiminia Mtoto wetu non alcoholic ShampagneMlezi wa TMH ndio alikuwa Mc wa party hii ya mama Asia Idarous, Bi Hadija mwanamboka!!
Jana usiku Bi Asia idarous {mbunifu wa mavazi mkongwe TZ} amefanya party ya kumshukuru Mungu kwa kufika umli huo... shughui hiyo iliyofanyika katka ukumbi wa Regency park hotel, mchana ilitanguliwa na shughuli ndogo ya mbunifu huyu kutoa msaada kwa watoto Yatima na waoishi katika mazingira magumu hii yote ni katika kuonesha ni jinsi gani anathamini wenye shida.. ni jambo la kupendeza na kufurahi Asia leo kawapa hawa na sisi wabunifu na wanamitindo na wadau wa mitindo tusisahau kama tunawatoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaohitaji msaada pale TMH {Tanzania Mitindo House}

Saturday

Shinning Star!!Vannesa Mdee still shines like never before!!! hapa akiwa jukwaani anaendesha show ya finali ya Kisura wa Tanzania kwa mwaka huu 2009...
Daim Vannesa!!