FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

My number One girl... making her portfolio


Making of Lilian(FOA) Portfolio
Photography: i-view Photography
Art Direction: Raqey Mohamed
Make up: rehema
Stylist: Martin Kadinda
Location: i-view studio


I did my best to make this dress look sexy and hot on her... nilibana katika paja lake la kulia na kuchana kidogo kiunoni kwake na mkono wa kulia niliubadilisha to make it hot....Ubunifu wa mustafa hassanali ulikuwepo kuhakikisha nakamilisha kazi yangu kwa usahihi


Am loving this pic because it has a story behind during photoshoot...Ni kipande cha satin mateliar ndicho nilichotumia katika kutengeneza nguo hii. unaweza kuhisi imeshonwa but nimeifunga tuu na kumfanya awe bomba zaidiIts more of Red carpet....Do You wanna have You own portfolia like this one... I-view photography is a place to get the best of it.

Sunday

Trey Songs

Although Trey Songz loved hip-hop while growing up, the only R&B he could get into was R. Kelly. When his friends heard his perfect tenor voice, however, they pushed him to drop rap and start crooning.Songz did just that, and after winning numerous talent shows in his native Petersburg, VA, the 15-year-old singer met Troy Taylor, who had worked behind the scenes with such artists as Patti LaBelle, SWV, and B2K. Taylor encouraged Trey to finish high school first, and then they could talk about a possible music career. Trey received his diploma and immediately moved to New Jersey to work with Taylor. Soon, the singer was appearing on Kevin Lyttle's debut album and Trick Daddy's Thug Matrimony as a sideman,


No matter What wear!! u can still made it...

as well as striking out on his own with "About the Game," a solo cut from the Coach Carter soundtrack. As he was working on his debut album -- not to mention several collaborations with Lil' Kim, Trina, and Snoop Dogg -- Trey Songz released some street-level mixtapes under his alias, the Prince of Virginia. His proper debut, I Gotta Make It, was released by Atlantic Records in 2005, and the sophomore effort, Trey Day, charted at number 11 upon its release in 2007.Great photo.. i love the Lighting...


In 2009 the single "I Need a Girl" announced the coming of his third album, Ready. David Jeffries, All Music Guide


Is he Photogenic??You see the tattos?

Saturday

Martin out of Tanzania


Ulinzi ni kila kitu kwa Star.. Unwanahakikisha usalama


No matter how old you are... You need to have fun...


Got my Keys here in Malawi.. mishe mishe zinaanza


Mr Taji Liundi kama model vile.. naona anaiwakilisha Modotz.blogspot.com


This beautiful ladies jamani.. walinifanya nifurahie safari yangu... they are fun and lovely
Ulinzi ni kila kitu kwa Star... UN wanahakikisha UsalamSafari yangu ilihusisha watanzania wenzangu wengi na wengine tulikutana nao juu kwa juu.. hapa ni VIP lounge ya Zambia tukisubiri muda wa kusepa


Katika pita pita yangu ya hizi shughuli zangu nilikutana na askali wa UN na tulizungumza machache na walionekana kuvutiwa na inch yetu, amani tulionayo, wananchi watulivu na wenye moyo waupendo.. na kudhihirisha kuwa tunaupendo niliona ni vyema nikipiga nao picha!!

Thursday

Tunamalizia na Part III ya Birthday


Tulianza Shughuli ya bi Jamila kwa kuonja Shampagne ikiwa ni ishara ya upendo wake kwa marafiki, ndugu na jamaa...


Hii hapa keki!!Watoto tulilishana keki!! although yangu ilikuwa ya blue, yake ilikuwa ya Pink...


First black Lady GaGa alikuwepo, na alipata kipande cha keki!!

Kamanda Elizabeth Gupta alikuwepo kushereheke Shughuli hii ya Jamilah


Candy dance ilikuwepo kumpa burudani mtoto wetu mchanga na aliungana na marafiki katika kulisaka..

Wednesday

Part II ya birthday ilikuwa ni suprise

Niliamua kutoa zawadi kwa mtu nimpendae kwa usiku huu... ilikuwa ni tabu kidogo kwani kila mtu alitamani kuwa Yeye...


Unanitega nikupe zawadi??

Dj fetty akasema nimpe yeye atanipa promo hata kama siimbi bongo flava... ahha ha kidding

Hawa nusura wanitoe roho kisa zawadi....

Huyu akazuga kutaka kupiga picha na mimi, after that akaninong'oneza nimpe yeye eti ananipenda toka long tym.... Weeee!

nikataka kumpa loveness akagoma!!


finaly nikampata wa kumpatia....ni Yeye ananifanya niwe juu sikuzote... she is my woman


Kamwe hakuna upweke wala baridi kati yetu.


Lets dance until the sun comes


Shukrani zangu za Dhati kwa kila aliyewezesha hii siku kuwa njema na ya kufurahisha!! sitaisahau kamwe..

My Birthday night


Nani ametisha? Silvia Shari VS Belina Mgeni


Thank You diva, alikubali kuchelewa katika show ili aungane na mimi katika siku yangu special


Lady Ga ga? hapana, madona? hapana.. britney..? hapana Sasa ni nani?
Super model Fideline Iranga alikuwepo

Unacheck madini mkononi?
Sio kila kivaliwacho ni Feki... Belina the super model anakuambia hivyo....at the same night Jamilah nae alizaliwa...

mapacha wawili waliungana na mimi katika birhtday party

Shukrani kwa moyo wako wa upendo kwangu.. uliamua kumuacha mgonjwa japo kwa saa moja ili kuwa pamoja nasi.... Thank you Hadija mwanamboka

Queen gupta alikuwepo na bro Kay tee

How hot can chicks be in Black......


Cabaiser and Mo racka.. doing their thing!!


Party people walivamia...!!
My sweet Female hot Dj Fetty, i Loved her hair do, dress code and a cute smile she has.... She is my ...................
Hot dada's(my sisy Carolyne and Irene binti wa uwoya walijitupia black)


Hot Irene Uwoya alijiachia na sisi baada ya kumaliza kurekodi tv show ya SElebuka

Monday

23rd march is my special Day!!


Kila binadamu huwa na malengo yake kipindi anapokuwa!! na pia maisha yetu yamejengwa na ndoto nyingi za maendeleo na maisha mazuri... lakini Katikati ya maisha haya wengine wanapoteza uhai au hata baadhi ya viungo vya miili yako... lakini je tulio wazima tunafanya jambo gani katika kumshukuru mungu? tunakumbushana tuu, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapo nilipofika leo, kaniwezesha kukutana na mambo mbali mbali mazuri na mabaya pia ambayo naamini ilikuwa ni mitihani katika kunijenga na kunipa ujasiri, masaa machache yajayo nitakuwa natimiza miaka 23, ni hatua kubwa sana nimepiga katika maisha yangu kwa msaada wa watu walionizunguka bila ile mihimili miwili ambao binadamu tunapaswa kuwa nayo, lakini walikuwepo pembeni wamenisimamia na kunifanya kusahau kuwa sina ile mihimili ya mtoto yoyote katika dunia hii.. nasikitika hawapona na mimi leo hii lakini moyoni mwangu watakuwepo mapaka siku nitakayoiaga dunia hii....

Naomba kwa yoyote niliyemkwaza in anyway anisamee na kuniona ni mmoja ya wakosefu katika dunia hii na kwa aliyewahi kunikwaza kwa aina yoyote, trust me nimefuta na kusahau yaliyopita... nakazana kujenga maisha yangu, Mr&Mrs kilongumtwa nawapenda sana, Carolyne Peter Zayumba You real touched my life and God will give u the best mbinguni kama si hapa dunia... Mr&mrs Raqey siwezi kusema lolote lakini mwenyezi Mungu anajua Moyo wangu unawaombe Kheri kila siku, Judith Mbibo Wambura na Mr. Habash thanx for being there.... My life has alot but there are people who give me ahudread reason to smile and think am the best in this World..


Agnes my Sweet Princess, am sorry for the Whole mistake i have made, all the pain i have cost u.. but Trust your the woman of my life and mbele ya watu natamka wewe ndio mke wangu nitakayekuoa, umenionyesha ujasiri ambao wanawake wachache sana wanao katika dunia ya hivi sasa, I love U

am in love with this Picture

Thursday

Hongera bro kwa kutimiza miaka 37 mwaka huu...


Tukiachana na kulipuana kwa mafuta jikoni shughuli nzima ilikuwa ni kugawana hii keki ya shughuli... tukala mpaka kuacha...
Dogo, bro na dadaYoung forever tulikuwepo kumpa hongera bro Captain....

Babuu wa Kitaa, Me at the middle, the one man standing B12More pics@ ladyjaydee.blogspot.com