FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

#TeamKADINDA......GET YOUR T SHIRT NOW

We are most effective as a team when we compliment each other without embarrassment and disagree without fear...... Join team Kadinda....Get your T shirt now

HUMP DAY: STREET FASHION:MARTIN KADINDA

STYLED BY:MARTIN KADINDA
PHOTO BY: ZUNGU, SHOES: STEVE MADEN, SHIRT: ETRO MILANO, JEANS: SELE KINO

BELT: CP JEMBE

Tuesday

COLOURFUL TUESDAY: STREET FASHION:MARTIN KADINDA

STYLED BY: MARTIN KADINDA
BLAZER: MARTIN KADINDA, PANT:8020FASHIONS,BELT: CP JEMBE, TSHIRT: MR PRICE

SHOES:MR PRICE

Saturday

CYNTHIA MASASI & RICHARD MZIRAY KIMEELEWEKA ASUBUHI YA LEO: OFFICIAL MR & MRS MZIRAY

KANISA ILIKUWA NI AZANIA FRONT.... SAA 4 ASUBUHI NDIO KENGERE ZIMESIKIKA NA MLANGO UKAFUNGULIWA

BWANA HARUSI NDIO HUYU MR RICHARD

SINGLE BUTTON ZILIKUWA ADIMU.. UKIANGALIA KWA MAKINI IKO MOJA....

MTOTO WA MASASI...CYNTHIA HUYO HAPO.... KIMASO MASO.

MUDA WA KUSIGN HUO HAPO....

CYNTHIA AKAFUNULIWA NA SIGN IKAWEKWA

KINANG'ARAAAAAAA... MORE PICTURES BAADAE NAENDA KUPUMZIKA READY FOR RECEPTION USIKU..... (picha) 8020Fashions CAMERA

Friday

LOOKING FORWARD FOR SWAHILI FASHION WEEK & AWARDS OF COURSETanzanian Beyonce in Bush...: JAckie Cliff arudi kijijini Iringa

It was a great feelings to be where my roots are...iringa,Njombe thats where i belong and I'm proud." Jackie"

Thursday

ANOTHER COLOURFUL DAY: MARTIN KADINDA


PICTURES BY: ALBERT MANIFESTER(Mtafute FB)

Friday

i was here.

JACKLINE NTUNYABALIWE "KLYNN" APATA MAPACHA WAKIUME

MISS TANZANIA MWAKA 2000, JACKLINE NTUNYABALIWE AMEFANIKIWA KUJIFUNGUA WATOTO WAWILI MAPACHA WA KIUME... NAPENDA KUMPONGEZA SANA KWA HATUA HII KUBWA OF HER LIFE.... CONGRATS TO HER AND MWENZI WAKE... "Picha ya mapacha ni mfano tu"

ANY WEDDING THIS SOON? AM GIVING YOU THE BEST DECO IN TOWN "PACO DECO"


TAMBUA MPANGIRIO WA RANGI ZA HARUSI.....

FRESH FLOWERS.. KILA KITU KINAPATIKANA BONGO KWANINI KUHANGAIKA NA MAUA YA PLASTIC ON YA WEDDING?


HARUSI HAZIJIRUDII.. USIPOKAA KATIKA KITI KINACHONG'ARA UTAKIKALIA WAPI TENA?MORE THAN CLEAN DECOR...ZURIA JEKUNDU....... CALL 0652909311 KUPATA MAELEZO ZAIDI KUTOKA KWA MUHUSIKA.


Wednesday

AM DYING TO HAVE ONE PAIR OF "RIVIERAS X ANDRE TROPEZ"
I SO BADLY WANT THIS....... ZAWADI PLS KWA ANAYENIPENDA..

HUMP DAY: MARTIN KADINDA LOOK OF THE DAY
DIAMOND PLATNUMZ AKISAULA VIWALO LIVE STAJINI: FIESTA 2012

Kris Jenner to Host her own Day time Tv Show

AKIWA NDIO YULE PRODUCER WA THE MOST VIEWED REALITY TV SHOW YA KARDASHIANS... KRIS JENNER AMEONESHA NIA YA KUJA NA KIPINDI KIPYA KABISA... HII ITAKUWA NI DAY TIME TALK SHOW YAKE MWENYEWE KAMA ILE ANAYOFANYA WENDY WILLIAMS,Twentieth Television NDIO WATU AMBAO AMEKAA NAO MEZANI KWA SASA KWA MAZUNGUMZO AMBAPO ANATEGEMEA KUANZA KURUSHA SHOW YAKE HIYO SUMMER 2013.... JE UNADHANI MAMA HUYU ATAWEZA KUPAMBANA NA MTU KAMA WENDY WILLIAMS KATIKA KUPATA VIEWERS??

Monday

THERE IS SOMETHING SPECIAL ABOUT MARIDADI FASHION SHOW.... CHECK EM CHARACTER OF HIS MODELS, STYLES OF HIS DESIGNER, DONT FORGET THE SET UP AND PRODUCTION.

MARIDADI FASHION SHOW TOOK PLACE AT SEA CLIFF HOTEL 06TH OCTOBER...

HII NDIO ILIKUWA SHOW YANGU YA KWANZA KUFANYA KAZI TOKA NIRUDI NCHINI FROM STATES KAMA TRAINER WA HAWA MODELS.. GIVING THEM NEW ATTITUDE AND I FELT GOOD BEING THE CHOREOGRAPHER FOR THIS SHOW....