FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

NAWAPENDA SANA HAWA WAMAMA KATIKA HII VIDEO:SHARO MILIONEA FT. DULLY SYKES - CHUKI BURE

FAKE ENGAGEMENT: WEMA SEPETU AND MWINYI AHMED


KWA MARA YA PILI WATANZANIA NA WAPENZI WA BURUDANI WALISHUHUDIA WEMA SEPETU AKIVALISHWA PETE NDANI YA MAISHA CLUB... NATOA UFAFANUZI WA WAZI HII HAIKUWA REALITY ILA NIKIPANDE CHA FILAMU AMBACHO MTAKIPATA NDANIA YA FILAMU YA SUPERSTAR YA WEMA SEPETU AMBAYO INAZINDULI WA HIVI KARIBU.... IELEWEKE NI FILAMU.

Monday

NOLLYWOOD DIVAS KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA KATIKA SIKU KUBWA YA WEMA SEPETU NEXT MONTH

GENEVIEVE NNAJI, RITA DOMINIC NA OMOTOLA MMOJA KATI YAO ATAUNGANA NA WEMA SEPETU SIKU ZA MWANZONI KATIKA EVENT LKUBWA YA WEMA SEPETU... AMBAYO ITAFANYIKA KATIKA HOTEL YA NYOTA 5 HUKU IKISHIRIKISHA WASANII WA KIKE WA MUZIKI WA TANZANIA.... KATIKA KUELEKEA SIKU HIYO WEMA SEPETU AMESEMA ANAJITAHIDI SANA KUHAKIKISHA ANAIMARISHA MAHUSIANO NA NCHI ZA JIRANI AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIFANYA VIZURI KATIKA SOKO LA FILAMU NA MuDA HUO HUO ANAJENGA URAFIKI WA KUDUMU KATI YA WASANII WA KIKE WA FILAMU NA WAMUZIKI WA KIKE TANZANIA NDIO MAANA AMEAMU SIKU HIYO KUWE NA BURUDANI KUTOKA KWA WASANII WA KIKE TU ...
UNATAKA KUJUA NI EVENT GANI NA INAFANYIKA WAPI  NA INA LENGO GANI.... PITA PITA
www.8020fashions.blogspot.com
na hapa hapa mvutokwanza ........ THIS IS THE MASSIVE ATTACK BY OUR OWN BONGO FILMS DIVA


DIAMOND PLATNUMZ AKIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI YA BBA STARGAME EVICTION LAST NIGHT

Friday

SAFIIIIIIIII: THE MBONI SHOW LAUNCH FEATURES SINGLE BUTTONS BY MARTIN KADINDA

NIKIKULETEAE HABARI KWA PICHA NI MIMI MTOTO WA KADINDA PEMBENI YA WEMA MNG'ARO SEPETU


Saturday

WEEKEND SPECIAL KWA WAMAMA: HAPPY MOTHER'S DAY

SARAH WA RAQEY NA MWANAE HUYU HAPA... NAPENDA KUMTAKIA SIKU NJEMA YA MAMA DUNIANI AS SHE IS EXPECTING ANOTHER KID...  SO UMAMA UMEKUBALI
NANCY NI MAMA AND NAMTAKIA SIKU YA MAMA DUNIANI YENYE FURAHA TELE.

NA MIMI NA WANGU PAMOJA NA MAMANGU

Friday

VIPANDIKO HAVITOKI KATIKA CHART


SIKUZOTE NAWAELEZA WATU HAKUNA STYLE AU FASHION INAYOTOKA KATIKA CHART ILA INASAHAULIKA KIDOGO TU THEN ITARUDI... NAKUMBUKA VIBANDIKO DADA ZANGU WALIVIVAA KAMA MIAKA 25 ILIYOPITA LAKINI MPAKA LEO UKIPATIA TU UVAAJI WAKE UNANG'ARA.....

Wednesday

SINGLE BUTTON: SAFIIIIIIIIIIIII

ZARA: SINGLE BUTTON

MING'ARO YAONGOZA KATIKA 2012 COSTUME INSTITUTE GALA

SINGLE BUTTONS WILL CHANGE YOUR LOOK
UTAJIITAJE MSICHANA AU DADA WA KILEO KAMA UNASHINDWA KUSUPPORT KAZI ZA WATANZANIA WENZIO? KABATI ZIMA LIKOSE  SINGLE BUTTON HATA MOJA KUTOKA KWA MARTIN KADINDA?? HOLAAAAAA AND GET YOUR

Monday

Saturday

HII IMENIUMIZA: LULU MICHAEL NI MDOGO WANGU

NIMEJUANA NA LULU YAPATA MIAKA MITANO TOKA TUKIWA SHULE WAKATI ANAANZA FORM ONE NA MIMI NIKIWA FORM 6 PALE PERFECT VISIO HIGH SCHOOL. KWA KIPINDI CHOTE LULU AMEKUWA MDOGO WANGU NA MTU WA KARIBU AMBAYE MARA NYINGI AMEKUWA AKINIHUSISHA KATIKA SWALA LAKE IKIWEPO UBUNIFU WA COVER YA MOVIE YAKE IITWAYO "FOOLISH AGE" HII NI KUTOKANA NA KUNIAMINI KWAKE NA MIMI PIA KUMWAMINI NA KUMWEKAA KARIBU YANGU NIKITAMBUA KUWA NI MSICHANA MDOGO MWENYE NDOTO NA MALENGO NA MAISHA YAKE...HILO LILINIFANYA NIMWONE NI ZAIDI YA RAFIKI KWANGU KWAKUWA NILIKUWA NAMLEA KATIKA MAZINGIRA YA KUMUONESHA NJIA ILIYO SAWA.. NASIKITIKA SIKU MOJA KABLA YA KUKUMBANA NA HILI BALAA ALILONALO ALIKUJA OFISINI KWANGU AKIHITAJI NIMSHAURI NINI AVAE KATIKA KILI MUSIC AWARDS.. ALINIAMBIA MARTIN NATAMANI SANA KUONEKANA TOFAUTI, NATAKA NISIVAE MAVAZI MAFUPI KAM AWALIVYONIZOEA WATU, MIAKA INAENDA NA NAPASWA KUJITAMBUA KAMA MIMI SASA NI DADA NA NINA WATU WANAONIANGALIA KAMA ROLE MODEL WAO. KUSEMA KWELI NILIFARIJIKA NIKITAMBUA LULU AMEKUWA NA AMEONA MBALI..... NINGEPENDA WATANZANIA WENZANGU NA WADAU WENZANGU WA BURUDANI KUTAMBUA LULU NI MSICHANA MCHESHI, MUWAZI NA MWENYE ROHO YA HURUMA, LULU HAJAJALIWA UCHOYO WA MAENDELEO..... MAGAZETI NA VYOMBO VYA HABARI VIMEANDIKA MAMBO MENGI KUHUSU LULU LAKINI MIMI NIMJUAVYO NI ASILIMIA 10 KATI YA 100 YANAWEZA KUWA NI KWELI.... HII NI VILE NIONAVYO MIMI, SIDHANI KAMA KUNA MTU NAWEZA KUBISHANA NA KILE NIKIONACHO MIMI KWAKUWA KILA BINADAMU ANAMTIZAMO WAKE NA HUO NDIO WANGU.

KILICHONIFANYA KUANDIKA HAYA YOTE NI HABARI AMBAYO IMEANDIKWA NA VYOMBO VINGI KUWA NIMESEMA LULU NI MJAMZITO WA MIEZI MITATU, HIVI KWELI MARTIN KADINDA KABADILIKA KUWA DAKTARI LEO HII WA KUWEZA KUJUA UJAMZITO UNAMIEZI MINGAPI? SIKU ZOTE NIMEKUWA NIKIMTANIA LULU KUWA ANATASHIKA MIMBA NA WATU HAWATAJUA KUTOKANA NA KUWA NA KITAMBI AMBACHO MWENYEWE ALISEMA NI CHA MAFUTA YA VINONO ANAVYOKULA, AKANIAMBIA HUWEZI UKAJUA LABDA NINAYO? HAYO NI MASIHARA AMBAYO MARA NYINGI TUMEKUWA TUKITANIANA KWAKUWA ALIKUWA ANAJUA NACHUKIA SANA MSICHANA MWENYE KITAMBI..  NAHESHIMU KAZI YA KILA MTU UNAWEZA KUKUTA KATIKA MAZUNGUMZO YANGU NA WATU WA KARIBU NIMEWAHI KUROPOKA JAMBO HILO AU SIJAWAHI PIA ILA KUTOKANA NA UKARIBU NILIONAO NA HUYU MTOTO HABARI IKAANDIKWA... SIWEZI KUTOA HABARI YA MTU BINAFSI TENA ISIYONIHUSU KWA MWANDISHI WA HABARI NA NINGEPENDA IWEKE WAZI KUWA NI MANENO YALIYOSIKIKA NDO HABARI IKAANDIKWA LAKINI SIO MARTIN KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.... UKITAKA KUNIAMINI NIAMINI NA USIPOTAKA PIA SIKULAZIMISHI...

Friday

WEMA SEPETU AT STUDIO.. KATIKA UHAMASISHAJI WA KUCHANGIA MATIBABU YA SAJUKI

 USIKU WA KUAMKIA JANA.. MUIGIZAJI NA MREMBO WA TANZANIA WEMA SEPETU AMEINGIA STUDIO KUIMBA NYIMBO YA MBONI YANGU AMBAYO NI MAALUMU KWA AJILI YA KUHIMIZA UCHANGISHAJI WA FEDHA ZITAKAZO MWEZESHA SAJUKI KWENDA KUTIBIWA NCHINI CHINA... ZAIDI YA KUINGIZA PIA WEMA SEPETU AMETUA FEDHA AMBAZO ZITAONGEZEWA KATIKA SAFARI  YA MSANII SAJUKI.
JE UNAJIULIZA WEMA ANAKIPAJI CHA KUIMBA?? KUPATA JIBU DOWNLOAD NYIMBO HII AMBAPO UTAKUWA UMEMCHANGIA NA KATIKA CHORUS YA KWANZA UTAMSIKIA MTOTO WEMA SAUTI YAKE SI UNAIJUA?? LEGOOOO