FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

BEYONCE AFUNGUA TOVUTI YAKE AMBAYO IMEJAA PICHA ZAKE BINAFSI

MWIMBAJI BEYONCE AMBAE KWA KIPINDI HIKI BAADA YA KUJIFUNGUA AMEKUWA AJITAHIDI KUWEKA MAISHA YAKE BINAFSI MBALI NA VYOMBO VYA HABARI AMEFUNGUA TOVUTI YAKE BINAFSI AMBAYO MIMI NIMEONA IMEJAZA PICHA ZAKE AKILA BATA NA WATU WAKE WA KARIBU.. PICHA AMBAZO ZILIKUWA HAZIJAONEKANA KWA MITANDAO MINGI... KUTIA UKURASA WAKE WA TWITTER AMBAO ANAFOLLOWERS KIBAO ALIANDIKA UJUMBE ULIOWATAKA WATU KUTEMBELEA  TOVUTI YAKE HIYO. 


HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com1 comment:

  1. Anonymous07:15

    i love beyonce dat web site is so good and has lots of pic

    ReplyDelete

sema tukusikie