FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

WEMA SEPETU AT STUDIO.. KATIKA UHAMASISHAJI WA KUCHANGIA MATIBABU YA SAJUKI

 USIKU WA KUAMKIA JANA.. MUIGIZAJI NA MREMBO WA TANZANIA WEMA SEPETU AMEINGIA STUDIO KUIMBA NYIMBO YA MBONI YANGU AMBAYO NI MAALUMU KWA AJILI YA KUHIMIZA UCHANGISHAJI WA FEDHA ZITAKAZO MWEZESHA SAJUKI KWENDA KUTIBIWA NCHINI CHINA... ZAIDI YA KUINGIZA PIA WEMA SEPETU AMETUA FEDHA AMBAZO ZITAONGEZEWA KATIKA SAFARI  YA MSANII SAJUKI.
JE UNAJIULIZA WEMA ANAKIPAJI CHA KUIMBA?? KUPATA JIBU DOWNLOAD NYIMBO HII AMBAPO UTAKUWA UMEMCHANGIA NA KATIKA CHORUS YA KWANZA UTAMSIKIA MTOTO WEMA SAUTI YAKE SI UNAIJUA?? LEGOOOO

3 comments:

 1. Anonymous14:41

  wema mi nakukubali mbaya, hiyo saut ni balaa katika masikio ya watakaofanikiwa kuisikia...u r really, really gr8 princes

  ReplyDelete
 2. jojo04:47

  wema is such a daln i love her loads

  ReplyDelete
 3. Anonymous06:17

  i love yo wema mwaaa mwaa mwaa ur so gud keep it up!!

  ReplyDelete

sema tukusikie