FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

NYUMBA YA MILIONI 400 INAYOMILIKIWA NA WEMA SEPETU

INA SEBULE MBILI... MOJA MABYO NI TV ROOM NA YA PILI NI SITTING ROOM.. HII JUU NDIO TV ROOM NA CHINI NI SITTING ROOM

CHUMBA ANACHOLALA WEMA SEPETU.. NIMEKUTANA NA DRESSING TABLE MBILI... MASSAGE CHAIR PAMOJA NA MINI SALOON
ANACHUMBA PEMBENI AMBACHO NI KWA AJILI YA VIATU NA NGUO.. MINI HOUSE WARDROBE ROOM

ANASEHEMU MAALUM YA KUFANYIA INTERVIEWS NA MEDIA HOUSE MBALI MBALI KAMA UMUONAPO HAPO PICHANI AKIFANYA INTERVIEW NA ZAMARADITHIS IS A SMALL SET UP FOR INTERVIEWS WITHIN HER HOUSE.KAZI YANGU KAMA MENEJA NI PAMOJA NA KUHAKIKISHA MSANII WANGU ANAISHI MAISHA YA KIFAHARI KAMA AMBAVYO MASTAA WANAISHI.

43 comments:

 1. Anonymous00:23

  Nimefurahi kuona mtoto mzuri wema anamiliki nyumba siyo kutunza watu hela tu akazane azidi kuwekeza mabiashara makubwa mimi penda yeye sana

  ReplyDelete
 2. Anonymous03:46

  Kwa kweli imekaa vizuri sana na nampongeza bibie kwa hilo. Naomba kujua ndimo anapoishi au ni yakwake?? hivi juzi kati ze udakus waliandika kuwa kapangishiwa nyumba na kigogo wa ikulu huko mwananyama,na hii tunamesoma kwenye blogs nyingine wanasema ipo hukox2 mwananyamala,swali langu langu ni jeee kapangisha au kanunua? kwa vizuri tu kaka martin. all the best Wema,waiting for that big day of yours though sijaalikwa.

  ReplyDelete
 3. Anonymous03:47

  eeh jamani nimepapenda bure......umejitaidi sana wema sasa kwa mwendo huu unahaki ya kujivunia.me love yu sana

  ReplyDelete
 4. Anonymous05:16

  nyumba nzuri sn km n kweli anaimiliki wema kwa kpato cha sanaa ya bongo basi kumbe sanaa ya bongo inalipa sn au km ana kaz nyingine tujuze tafadhali

  J.

  ReplyDelete
 5. Anonymous06:22

  sasa hapo ww kama meneja umechangia kitu gani kwenye maisha ya kifahari ya wema?si hasara wewe ndo unaishi maisha mazuri angalau kutokana na mshahara anaokulipa wema wakati umechoka mbaya. hvi najiuliza huyu wema matawi ya juu,alikosa mtu wa kumfanya awe meneja wake kuliko kukuchukua ww,meneja gani umechoka hivyo?na jee isingekuwa single buttons sijui ingekuwaje?huna lolote ww na huna cha kumsaidia wema,ila mshukuru yy anakutengenexea life.

  ReplyDelete
  Replies
  1. elisa08:12

   We mshamba tu,kama stres zako za kukosa hela ya kununulia hata bajaji unazileta huku ! Martin choka mbaya analala kwako!?ameshakukopa hela? Mscheew! Kanywe huko pepsi na pilipili ,wivu usiokua na maana tu!

   Delete
 6. Anonymous06:22

  HUNA HADHI YA KUWA MENEJA WA WEMA SEPETU

  ReplyDelete
  Replies
  1. this is weird you dont have the right to judge anyone,..Big up Martin

   Delete
 7. wadau arusha06:46

  Kwa niaba ya marafiki zangu,muambie wema tumemkubali ! Anatisha!

  ReplyDelete
 8. Anonymous08:21

  Wawaaaaaaaaaaaaa wema namna hiyo best songa mbele achana na waswahili na majungu yao piga kazi yan I am so impressed with uuu fagilia wemaaaaa

  ReplyDelete
 9. Anonymous13:47

  thanks martin kadinda unajua mimi ni mpenzi sana wa glob yako yaani haipiti siku sijakutembelea sasa basi nimeteseka sana siku za nyuma kufungua hii glob yako lakini haifunguki kabisaa yaani inaseach tu lakini haifunguki sijui ninmimi au na wengine imekuwa hivyo ktk computer zao yaani leo najaribu nikijua itakuwa kama siku zingine imekuwa sawa sasa yaani nilivyofurahi utadhani mtoto kaletewa pipi na mama yake mm nimeshakuwa affected na hii glob yako asante kwakurekebisha blogyako ss inasomeka vizuri ss nije comment yaani nyumba ya wema ni nzuri sana mpe hongera zake yaani huyu dada nampendaga wacha tu

  ReplyDelete
 10. Anonymous03:11

  NYOKO, eti Nyumba ya Wema kaitoa wapi? Bora mseme kapangishiwa na pedejee, hana lolote huyo kazi kujiuza tu hela zote hizo atazinya wapi? au ndo anamrusha Roho Diamond?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous02:57

   iwe kapangishiwa au kanunua inahusu, nyoko wewe usiye na mvuto unayeishia kuhongwa vihela vya shoping. ujanja ndo huo hater.....

   Delete
 11. Anonymous04:36

  Ajiandae kuitwa fundi mason sijui free mason na GPL.

  ReplyDelete
 12. Anonymous14:46

  hongera bi dada umejitahidi sana wasanii wengine hadi wanazeeka nyumba kwao ni ndoto.

  ReplyDelete
 13. Anonymous23:32

  wema hongera sana

  ReplyDelete
 14. Anonymous00:47

  jamani muacheniii..anajua yeye anayezitafuta..

  ReplyDelete
 15. Anonymous01:01

  sasa na wewe wazibe midomo wanaokuchukia good wema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 16. wabongo utasikia ni freemason balaaaaa that my girl wema sepetu keeping rocking girl

  ReplyDelete
 17. Anonymous02:33

  hongera san bibie..)

  ReplyDelete
 18. Kitu kizuri safi sana bibie Wema

  ReplyDelete
 19. Nimefurahi kusoma habari hii... keep it up...! I feel proud to read good things from hoe, from my friends....!
  Herie

  ReplyDelete
 20. Anonymous01:17

  Hivi kweli kipato cha wema kwa shuhuli yoyote ile anayoifanya, anaweza kuwa na nyumba ya thamani hiyo? Na anasema amei-decorate kwa shilingi za kitanzania MMMILIONI AROBAINI NA NANE (48), JUST INTERNAL DESIGNING!!! TUWE SERIOUS KIDOGO. Inawezekana BUT inategemea na kipato cha mtu. TAFAKARI, CHUKUA HATUA.

  ReplyDelete
 21. Anonymous11:13

  hongera sana wema keep it up ni wachache wenye moyo huo wengi hufa hata baiskeli hawana.

  ReplyDelete
 22. Anonymous03:34

  Yap Big up Wema, huo ni mfano mzuri unaotakiwa kuigwa na Mastar wengine, na hata wanawake wenye kipato kizuri pia wanatakiwa kuiga mfano huo wa mwanamke kama wewe kufanya jambo la maendeleo. sio mastaa wanashindana tuu kuvaa na kununua magari ya kifahari wakati wako kwenye nyumba za kupanga tena uswahilini. Wema umeonyesha mfano mzuri sana na nakutakia mafanikio mema huko mbeleni umiliki gorofa la kifahari.

  ReplyDelete
 23. Anonymous08:59

  siri kubwa ya mwanamke ni kujiamini na kujithamnini Wema ni binti mzuri sana tofauti na watu wananyo mchukulia, simamia misimamo yako na angalia zaidi maisha yako tunakupenda jiheshimu na kujitunza kikubwa zaidi usiwape watu nafasi ya kukupangia maisha yako kila la kheri Mungu akulinde na kukutunza pia.

  ReplyDelete
 24. Anonymous13:38

  hebu jiulize ni kweli sanaa anayofanya anaweza kumi;liki jumba kama hilo? walianza wakongwe kina rey hawajafikia hapo sembiuse yeye si wivu bali nikujua anapataje mahela mpaka kununua nyumba ya mamilioni kiasi hicho mmh

  ReplyDelete
 25. Anonymous11:01

  KAA..ZI.. KWELIKWELI PIG UP MAMAAA!

  ReplyDelete
 26. Anonymous07:15

  Speechless!

  ReplyDelete
 27. Anonymous07:30

  UMEFANYA LA MAANA SANA WEMA , HONGERA SANA MAANA KATI YA WA SANINII WA BONGO WEWE NI KIBOKO UNAFAA KUIGWA NA WENZIO

  ReplyDelete
 28. Anonymous01:35

  Don't dream in public m near dis house n t belongs to ur sis,good dreams but don't dream n public.

  ReplyDelete
 29. Anonymous04:07

  nice nice hongera wema

  ReplyDelete
 30. Anonymous22:50

  Kila kitu kinawezekana ukijipanga,so alijipanga ndo maana akaweza. Hongera dada

  ReplyDelete
 31. Anonymous13:18

  Ngoja kwanza. Is this house out of a "clean" money real? With that uigizaji tu ndo kazipata hivyo? Mbona wengine hawapati au hawapendi maisha mazuri???

  ReplyDelete
 32. Anonymous02:10

  huyu Martin Kadinda ETI Singo button my ass..tumenza kuziona marekani kwa kina Obana we kazi kuiga tu anzisha chako...designer utakuwa wewe.halafu una meneji nn..wema ameamua kukupaisha tu..tena umshukuru

  ReplyDelete
 33. Anonymous00:51

  (hafai kuwa meneja wa wema) we unafaa!!!!!!!nyoo samahani sikukusudia bt mtoa coment amenilazimu.
  mi naona anafaa umeshasikia maskendo toka awe maneja wake au unafikiri umeneja ni nguo au kumiliki kile na vile mshamba sana wewe!!!!!!!!! mi nakupend coz unarudisha adhi iliyoanza kupotea ya wema kwa skendo za ukeweli na za uongo sasa hivi hawana pa kuanzia watampatia wapi na ana meneja kichwa unaejua madhara ya baadae? wasikuvunje moyo endelea na moyo huo huo wa kuziba palipo na ufa, kujenga palipo bomoka keep it up
  Mwisho naomba umshauri wema aachane na kuaribu pesa mara kamtunza fulani mara anataka kumnunulia mtu suti badala yake afungue biashara au asaidie masikini najua anao uwezo huo, namtakia kila la heri mungu amsaidie.

  ReplyDelete
 34. Anonymous22:39

  Jamani acheni maneno fanyeni kazi mpate maendeleo kama Wema, wabongo mtaridhika nanini? Hayo ndio maendeleo tunayo hitaji kwa kwa wasanii wetu sio msanii anakaa kwa wazazi mpaka uzeeni. big up WEMA.

  ReplyDelete
 35. Anonymous00:23

  jaman wabongo tatzo sana mtu akifanya ktu kizuri sifieni msilete chuki zisizo na maana Mungu hakupendelea wote tumepewa the same 24hrs usichukie maendeleo ya mwenzako angalia anachofanya km nawe waweza kifanye beta zaid yake oooh anajiuza km na ww unalipa jiuze km anaroga/freemason nawe iga km vp

  ReplyDelete
 36. jamani mimi nampenda sana wema, Big up martin kwa kupunguza skendo za wema.

  ReplyDelete
 37. Anonymous06:33

  Mbona inaoneshwa ndani tuu? kwa nje ikoje?

  ReplyDelete
 38. Anonymous01:44

  HEY GUY, STOP YO JEALOUS OVER WEMA, WHAT HAVE DONE FOR YOUR SELF SINCE YOU WERE BORN? WEMA I LOVE YOU GIRL, KEEP IT UP YOU ARE MY ROLE MODEL LIVE ALONE THOSE HATTERS THEY ARE SO BITTER COZ THEY HAVE NOTHING ABSOLUTELY, THUMBS UP FOR YOU SWIRRY AND OF COZ A MIDDLE FINGER FOR ALL HATTERS!!!!!!!!!! MJ FRM KENYA

  ReplyDelete
 39. Anonymous02:50

  tujifunze ku respect watu ,sion kwa nini wema atukanwe wala martini kadinda wema hayo ni maisha aliyoyachagua na we have to respect that no matter anapata wapi hela iwe through movie au njia nyingine na kumchagua martin kadinda awe manager wake its her choice and nawapongeza wote martin kadinda na wema keep it up

  ReplyDelete
 40. Anonymous09:26

  mi nasemaje hata kama anajiuza hiyo ni kazi yake haiwahusus hata kidogo siyo kazi yenu kujua mwacheni afanye yake na nyie fanyeni yenu yanayowahusu wema me i like you so much wewe ni my best na meneja keep on usiwasikilize washamba hao kelele za chura tu hizoooooooooooooooo you are the best wanaopiga kelele waliitamani sana hiyo nafasi kwendeni zenuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete

sema tukusikie