FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

PART 2: MY BIRTHDAY: WEMA SEPETU SUPRISED ME

ahahahhha a this woman is something Else.. baada ya kukurukakala zangu Wema sepetu  aliniita nyumbani kwake.... as soon as i got there nitwishwa boooooonge la keki... You i was like whaaat?

hakuishia hapo.... mkononi kashika nini hapo?? usisonye sasa... hahha

Yereeeeeee.........
  DO I HAVE TO SAY ANYTHING....


14 comments:

 1. Anonymous04:32

  HAHAHAHAHAHAHAH!!!!!!!!!!!!!!!! NIMEKUONA WEMA ME LOVE YU MUCH JAMANI... YANI KILA UFANYALO KWANGU NI POWAAAAAAAA, NAKUENDA TU SINA SABABU ILA KILA NIKUONAPO NA KUKUSIKIA MI NAKUPENDA TU, IWE KWA MABAYA AU MAZURI YOTE KWANGU NAONA POWAAAA TU.

  ReplyDelete
 2. Anonymous04:46

  big up wema unamuonyesha martin ni m2 muhimu kwako, mmependeza sana, kuna kitu kinaendelea, kama vp, HAKUNA TATIZO

  ReplyDelete
 3. Kuwa na Wema kwake Wema Milele. Happy Birthday Martin

  ReplyDelete
 4. Surely u dont have anything to say Martin, Mungu kakuona....

  ReplyDelete
 5. Anonymous00:40

  UNAJUA WEMA NI MPOLE SANA HILO NIMELITAMBUA, NAKUMBUKA ILE SHOW YA KILA WEEKEND FRIDAY ON ETV, WALIWAKUWA WALIMUULIZAGA VITU AMBAVYO HATAKI KUULIZWA, INGEKUWA MSANII MWINGINE ANGEPOROMOSHA MITUSI, MASKINI WEMA ALIJAWA NA SURA YA HUZUNI, MDOMO WAKE AKAUKUNJA KAMA MTOTO MDOGO ATAKA KULAMBA PIPI. AKAVUA HEADPHONE ZAO AKASEPA ZAKE. MI LOVE YU SANA. UNAWASHIKA VIBAYA

  ReplyDelete
 6. Anonymous12:46

  MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU

  NAMPENDAJE WEMA MUNGU AMPE NAE MAISHA MAREFU NA MEMA
  FRM SWEDEN

  ReplyDelete
 7. Anonymous08:28

  I do luv dis woman soooooo badly!

  ReplyDelete
 8. Anonymous23:36

  sasa Wema...my birthday is come like real soon ..name bhassss bana nisuprise with those goooodies bana...kkkkk...Friends like Wema indeed!!!me likeyyyyyyyyyyyyyyy

  ReplyDelete
 9. aaaaaaaa kubababake it was real mather f**** nice! Congratulation on your previous birthday bro! for sure bro i still appreciate on you bro NO matter what!! and i still lv her crazily! sasa unaguna nini!! hahahahaaaaaa haya bhana!!

  ReplyDelete
 10. Anonymous10:02

  lov u much weeemaaaaa

  ReplyDelete
 11. Anonymous03:15

  I like Wema a lot..

  ReplyDelete
 12. Anonymous08:03

  loh, martin wapendwa, wish wema anipende ka unavyopendwa

  ReplyDelete
 13. Anonymous06:05

  martin unaonaje umuoe wema duh njisi mnavyopendana its me ray from iringa

  ReplyDelete
 14. Anonymous12:03

  jamani nampenda huyo dada 2 da extend

  ReplyDelete

sema tukusikie