FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

RIHANNA NDANI YA "BATTLESHIP MOVIE"

HIVI NI VIPANDE YA VIONJO VYA BINTI HUYU ANAYEFANYA VIZURI KATIKA MUZIKI ANAPOAMUA KUUONESHA ULIMWNGU KUWA ANAKIPAJI ZAIDI YA KIMOJA

KUDAAAADEKI.


Sunday

SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIII: OMMY DIMPOZI & DIAMOND PLATNUMZ


5 HIGHEST PAID MODELS : WANAMITINDO WANAOKAMATA MKWANJA MREFU ZAIDI DUNIANI

1.Gisele Bundchen,  mwanamitindo mwenye asili ya kibrazil, huyu ndo kwa miaka hii yote ya karibuni amekuwa akishika number moja kwa kulipwa vizuri zaidi ya wanamitindo wote,  Gisele ameshafanya kazi na brand zote kubwa za mavazi kuanzia  Luis Vuitton mpaka Dior. amekuwa malaika wa  Victoria Secret kwa kipindi kirefu.kwa upande wa kimapenzi, Gisele amewahi kuwa na mahusiani  na actor  Leonardo DiCaprio and later.She tops the list of the world’s highest paid models by grossing an estimated $25 million dollars last year.

2.Hiedi Klum

3. KATE MOSS

4.Adriana Lima

5.Doutzen Kroes


Friday

SAFIIIIIIIII: WEEKEND LOOKFASHION RISK TAKER: LADY JAY DEE (JUDITH HABASH))

UKIWA CELEBRITY RAHA SANA... YOU JUST TAKE A RISK KWENYE FASHION NA BADO WATU WATACOPY........ MMOJA WA MASTAA WA BONGO WANAOJIAMINI KATIKA KUVAA CHOCHOTE NI JUDITH MBIBO.
RESPECT TO HER MAANA U INSPIRE OTHERS TO BE FREE AND HAPPY WITH WHAT THEY FEEL LIKE WEARING.
UFUNGAJI WA MAPASIA YA SEBULENI WAKATI WA MCHANA

WAKATI NASOMA SHULE YA MSINGI KUNA SOMA LA MAARIFA AMBAPO NDANI YAKE KULIKUWA NA SAYANSI KIMU... NI SOMO AMBALO NILIKUWA SILIPENDI LAKINI NIKAWA NAFAURU VIZURI, NADHANI SABABU YA KUTO KULIPENDA HILI SOMO NI KUTOKANA NA KWAMBA LILIKUWA NI SOMO JEPESI NA WALIMU WALILITILIA MKAZO BADALA YA KUTILIA MKAZO MASOMO MAGUMU MAGUMU KAMA HESABU NA GEOGRAPHY..... ILA LEO HII NIMEGUNDUA SAYANSI KIMU ILIKUWA NI ELIMU YA KUJIKIMU NA KUJIJENGA KIMAISHA... HAPO NDIPO NILIPOJIFUNZA UMUHIMU WA MAPAZIA NDANI YA NYUMBA....

MWALIMU ALISISITIZA KUJUA RANGI ZA MAPAZIA YANAYOENDANA NA NYUMBA YAKO ILI NYUMBA AU SEBULE YAKO IWEZE KUVUTIA... LEO MIMI NAONGEZEA KUWA UZURI WA NYUMBA HAUKAMILIKI BILA PAZIA ZURI NA LILILOFUNGWA VIZURI... ANGALIA PICHA NA JIFUNZE JINSI YA KUFUNGA MAPAZIA YAKO NYUMBANI PALE...

UNAWEZA KUTUNDIKA KWA UBAVU WA DIRISHA KATIKA KICHUMA CHENYE NAKSHI KAMA HICHO

AU KAMA HIVI

ILA STYLE HII NDIO NAIPENDA MIMI, ISHALAAH KWANGU NITAWEKA STYLE HII PIA, LAKINI KUMBUKA LISIWE PAZIA ZITO


PATA MUONEKANO WAKI_ROCK STAR
Thursday

I LOVED THIS COLLECTIONS-IAMISIGO CXX SPRING/SUMMER 2012


THIS SERIES IMENITEKA AKILI.....

 HAWA MDIO WANANINYIMA USINGIZI KATIKA HII SERIES ILA KAKOSEKANA REBECCA TU
 JINA LAKE HALISI NI IAN ILA HUMU ANAJULIKANA KAMA DEMON

KWA WACHEZAJI WA KIKE HUYU DEMU NI BALAAAAAAAAAAAAA

LOVE AT THE FIRST BITE

SO TRENDY


Tuesday

Mawazo - Diamond (Official Video)


SHUKRANI ZA DHATI KWA MARTIN KADINDA KWA KUFANIKISHA KUPATIKANA KWA MODEL (LISA JENSEN)
MAKE UP AND HAIR: REHEMA SAMO
WARDROBE: MARTIN KADINDA
COORDINATION: KIDOTI LOVING
PR: HUGOLINE MARTIN {DJ CHOKA}
VIDEO: ADAM JUMASAFIIIIIII


BAADA YA KASHKASHI: CHRIS BROWN NA RIHANNA WARUDIANA


MWAKA 2009 MGOGORO WA KIMAPENZI ULIOSABABISHA KUPIGWA KWA RIHANNA NA KUVUNJA KABISA MAHUSIANO YAO UMEONEKANA KUISHA NA KULETA UTAMU WA BURUDANI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA MZIKI HUU WA RnB..... WAWILI HAO WAMEFUNGUA UKURASA MPYA WA KUBURUDANI ZAIDI... KUZIHIRISHA HILO... TAFUTA REMIX YA NYIMBO WA RIHANNA IITWAYE BIRTHDAY CAKE NA PIA REMIX YA WIMBO WA CHRIS BROWN UITWAO TURN UP THE MUSIC REMIX

JUST LIKE A DREAM: JENNIFER LOPEZ & MARC ANTHONY