FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Sunday

JUMAPILI HII NIPO BUSY KIDOGO NA USIMAMIZI WA RED CARPET YA BHITZ TUNAKIWASHA LAUNCH PARTY

NAJARIBU KUKUPELEKA HATUA KWA HATUA MPAKA KUFIKIA KUKAMILISHA RED CARPET LOOK YA ENEO HILI, KWANZA NI LAZIMA UWE NA BANA AMBAYO WATU HUWA WANASIMAMA NA KUPIGA PICHA.

MBAO ZINAPASWA KUKATWA NA KUTENGENZWA VIZURI KULINGANA NA UKUBWA WA BANA ILI KUIFANYA ISIMAME IMARA.

BAADA YA KUANDAA MBAO IWAMBE BANNER YAKO KATIKA MBAO HIYO KAMA HIVI....

SI MBAYA UKIWA NA KABEIBE PEMBENI KAKIKUSAIDIA KUTANDIKA CARPET NA KUANGALIA MUONEKANO WA HILO ENEO. SI UNAJUA MWANAMKE ANAJICHO ZURI?


BBM KIDOGO ILI KUPATA IDEA NA MANENO YA WAKUDA WALE WALIOIONA PICHA ULIYOWEKA KATIKA DP KUHUSIANA NA TUKIO LINALOENDELEA

 CLIENT WAKO ANARUHUSIWA KUPITA ENEO LA TUKIO NAKUONA MAENDELEO. HUYU NI AMAN AMBAYE KWA SASA NI MENEJA WA BHITZ
FEW COCTAIL TABLES FOR THE GUESTS

KAZI IMEKAMILIKA..... USINICHOSHE.. GEUZA COMPUTER YAKO UONE VIZURI

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie