FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

TUCHEZE KIKWASA KWASA: ZITO KABWE AND WEMA SEPETU

WEMA SEPETU NA MHESHIMIWA ZITTO KABWE WAKISAKATA RUMBA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA SAYLA... JIJINI ARUSHA


WITH MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI MHESHIMIWA SHY-ROSE BANJI

HAYO NDIO YALIOJIRI NAURA SPRING

21 comments:

 1. Anonymous02:55

  Mheshimiwa kama huamini vile toto lilivyo zuri unatamani eehhhh

  ReplyDelete
 2. Anonymous08:08

  Wema looks good.Ila mkorogo unatosha mama

  ReplyDelete
 3. Anonymous11:18

  Tuwekee Trailer ya Super Star

  ReplyDelete
 4. Anonymous00:25

  Martin, hilo koti la Wema ni wewe umeli design?

  ReplyDelete
 5. Anonymous03:30

  jamani tukubali wema mzuri bana yan hana mpinzani mm huwa namfananisha wema na Jennifer lopezi. ilo koti la wema ni ww umeli design maana ni funika ametokelezea

  ReplyDelete
 6. Anonymous23:43

  Wema mzuri sana naombea iwe uongo kurudiana na diamond maana naona kabadirika kawa mdada sasa..move on young lady you doing better without hi. nakupendaje sasaa. martin blog safii

  ReplyDelete
 7. Anonymous01:38

  mtoto mkali bwana sanaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 8. Anonymous02:25

  Kweli mheshimiwa ahaamini kama yuko na mama Wema mutoto anayewakimbiza wa TZ
  Zitto ukiamua kumchua oa kabisa la sivyo kashifa utahama tanzania

  ReplyDelete
 9. Anonymous03:49

  amefanana na kim kardashian wema is so sexxyyyyy. martun hongera naona hata muonekano wema siku hizi umebadilika nanpenda wema nakupenda nawe manager wake. mungu awasaidie.

  Wewe ni kijana mdogo sana but una akili sana kwani hadi ukaamua kuwa manager wake umeangalia mengi na umegundua mengi kutoka kwa wema. achilia mbali wanaombeza na kumachafua.lakini wewe uligundua sio sifa zake zote zile wanazoziandika. nakuomba sana kaka yangu usimchoke wema pls hakunaga mwanadamu mkamilifu. tupilia mbali maneno ya watu najua wewe ni mwanaume na unafanya hivyo.the gr is so polite, cute and intelligent anajiamini sana huyu mtoto hebu fikiria angekuwa ni mtu mwingine kwa kitendo alichomfanyia mshamba diamond. lkn yeye wala sio mtu wa beef, diva nae kamchafua sana kwenye kipindi chake but dada wa watu kimya wala hajibu ukija huyu anayejiita j lo wa bongo anamchokoza sana wema lkn mtt wa watu wala hajibu. labda kajua kuwa wote sio type yake. na ni kweli wote hawawezi kujifananisha na wema. na HAKUNA ADHABU KALI AU JIBU ZURI KAMA KUWA KIMYA.

  Kaka martin natamani niongee mengi sana yanayonifurahisha juu yako na wema. yani nina feelings za ajabu sana. i love you all may ALLAH bless and protect wema and her Manager.

  Mwisho kaka yangu SINGLE BUTTON PRICE PLS natamani kuwa nazo hata tatu but naogopa nahisi km bei juu mimi sio staa mtu wa chini sana ila napenda sana kupendeza kama mdada wa kisasa. so please naomba bei upost kama ile nyekundu ya mdada uliyemuweka ni bei gani?? nijipangem la tengeneza tuwe tunazipata hadi kariakoo sio tusubiri wachina walete wakati tuna madisigner wazuri kwt bongo. Be blessed kaka

  ReplyDelete
 10. Anonymous06:56

  wema looks so good i love about ha dat she knows how to dress

  ReplyDelete
 11. vickie yjm11:24

  Very gud lookin.....napenda wema napenda martin,wambea tupa kule weka kwenye dustbin.

  ReplyDelete
 12. Anonymous01:20

  Wema u luk mwaaah.every time i see you its lyk i see kim kardashian. Ur Kim K wa bongo.

  ReplyDelete
 13. Anonymous02:03

  wema ww ni mzuri wacha waseme mwisho watalala wanaokubeza ni wivu unawasumbua hakuna atakaye jifananisha na ww

  ReplyDelete
 14. Anonymous03:13

  imepitishwa by ME dat wemani kim k wa bongo...nampendajeeeee she knws how to dress mwaaaaaaah yan km angekuwa my dada

  ReplyDelete
 15. Anonymous15:38

  woooooooooooow, girl u nailed! yaan mie ni msichana but nimekutamani, sijui hao wakaka wana hali gan mostly mheshimiwa hapo, design kama aamin hivi that he is honoured to dance with such beautiful human being alive.......!

  ReplyDelete
 16. Anonymous05:29

  big up martin am mussa kiravu fro moro

  ReplyDelete
 17. Dorothy06:03

  Wema rocks bhana..wengne wote nyuma! Hakunaga kama yeye! Tulizana my dada u wl get someone of your type..hao wakina diamond thy r nat of ur class hata kdg! I adore ya..

  ReplyDelete
 18. Anonymous22:29

  Wema mzuri bwana!HAKUNA WAKUPINGA,hata akipewa kashfa gan bado hazmshushi hadhi yake na bado atazd pendwa na mashabk wake na wanafk wajue kuwa chuki zao ni bure kwake cz hawamuongezei maadui bal marafk na hakuna k2 kzur dunian kama kupendwa pamoja na mabaya yote yanayozungumzwa na wa2 juu yako,NAKUPENDA XANA WEMA!i wsh ungekuwa ndugu yangu ama rafk yangu wangu wa karbu,najua unayoptia unahtaj m2 wa kumwambia il akushaur moyo u2lie especially acwe mmbea bal akutakiaye mema.

  Kaka at first nlpgwa na butwaa cz nlkata tamaa kama yalyomfka wema nlhc ni yangu bt kuna wa2 wazur kama wewe ambao wanajal kaz,heshma na utu wa wengine,Mungu akusaidie uwe na moyo huohuo hata kwa wengne na uskate tamaa kwa madhaifu ya Wema na wengineo cz ni wanaadam na ha2jakamilika.BIG UP!Mimi ni Precious Shumileta napatkana FB.

  ReplyDelete
 19. Anonymous02:52

  mi napenda coz wema ni kama amezaliwa upya maana hata magazeti yapepumzika kumwandika bt mi naona ilikuwa ni maisha ya kawaida kwa watu wengi ivi kama kila mmoja wetu angemulikwa na hayo magazeti unafikiri wema angeshika namba ngapi? naisi hata mia bora hasingeiona ni vile wanawamulika mastaa tu.
  halafu watu wengine wanajidai kumshangaa utafikiri ye ana mabaya yake mnanishangaza sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! bt labda nikuombee wewe manager mungu akuzidishie coz najua unamtia moyo na nguvu maisha ni kusaidiana sio kwa pesa tu bt hat mawazo na ushauri. wewe ni manager bt umekuwa kama rafiki wa kweli kwa wema ningekuwa wema nisingeongeza wanafiki (marafiki feki) hawana lolote kazi yao ni kuja kukuchunguza unapataje pesa au kwanini siku hizi mambo yako supa ili wapate kuuza sura au kuosha jina kwa mambo yako yasiyowausu.
  mwisho mweshimu mama coz anakupenda kuliko mtu yoyote hapa duniani usiwape faida watu kumsema mama yako kama mwaka uliopita mweshimu kila mtu atamueshimu.

  ReplyDelete
 20. Anonymous01:28

  so determined dude

  ReplyDelete
 21. Anonymous05:44

  WEMA you are so so so beatiful, no dought. I love U so much sometimes I wish I could have a chance to talk to you.
  Wema skendo zako nyingi zinazokuaribia ni za mapenzi. Nakushauri tafuta mwanaume ambaye ni matured achana na kina Diamond. Wanaume wengi wa kibongo hawajui mapenzi ni wababaishaji, wenyewe kusumbuana ndio wanaona dili ACHANA NAO. Jijenge kimaisha a MAN OF YOUR DREAM IS ON YOUR WAY, BE STRONG, usikimbilie kuingia kwenye mahusiano tulia kwanza. Kwa status uliyonayo mimi nakuombea upate mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ikiwezekana awe mzungu, atakaye weza kukuhandle, DIOMOND doesn't deserve U.

  ReplyDelete

sema tukusikie