FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

MWANVITA MAKAMBA NA JACKY MAFURU WAPIGWA ZENGWE NA RIO PAUL

IKIWA NI MMOJA YA WANAWAKE WENYE NGUVU ZAIDI TANZANIA, MWANVITA MAKAMBA ALIVALISHWA VAZI AMBALO LILIKUBALIKA NA KUITWA THE DRESS OF THE NIGHT... YAANI ILIKUWA NI NGUO KALI KULIKO NGUO ZOTE ZILIZOVALIWA KATIKA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MWAKA 2011..... KILA MTU ANAYEFATILIA MITINDO NA UBUNIFU ANATAMBUA HII ILIKUWA KAZI YA SHERIA NGOWI.... MBUNIFU AMBAYE ANASHIRIKIA TUZO YA MBUNIFU BORA ZAIDI WA KIUME KWA MWAKA 2011-2012

ZENGWE LIMEIBUKA  AMBAPO STYLIST RIO PAUL KUULIZA NI NANI KAITENDEA HAKI NGUO HII?? AMBAYO ILIONEKANA  JANA BAADA YA BI HARUSI MTARAJIWA JACKIE MAFURU KUVAA VAZI SAWA NA LILE ALILOLIVAA MWANVITA MAKAMBA.. TOFAUTI IKIWA NI KITAMBAA KILICHOTUMIKA KATIKA KUCHANGANYA RANGI ZA GAUNI HILO....YA MWANVITA ILIKUWA NA RANGI ZA ZAMBARAU NA YA JACKIE ILIKUWA NA RANGI YA BLUE... KWA UELEWA WANGU NILIDHANI JACKIE AMEBUNIWA NA SHERIA NGOWI PIA LAKINI JIBU NILILOLIPATA NI KWAMBA HII SI KAZI YA SHERIA NGOWI ILA YA MBUNIFU VERA WANGU....NA AMEINUNUA NCHINI CHINA.....SWALI LANGU NI ..... NANI NI MMILIKI HALALI WA DESIGN HII? SHERIA NGOWI AMA VERA WANG

6 comments:

 1. Anonymous09:01

  Huwezi amini Martin i can see

  ReplyDelete
 2. Anonymous10:53

  Alivyoingia tu ukumbuni watu wengi walijua amecopy and paste kwa mwanvita but al in all alipendeza sana yaan alifunika hasaa

  ReplyDelete
 3. Anonymous16:28

  Hi nguo ni design ya vera wang mwamvita alitupiga changa la macho na sheria wake sasa wameumbukaje but wote wamependeza

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous01:23

   mbona mnashobokea sana vi2 vya nje kwani sheria hawezi hilo gauni sheria ndo wa kwanza huyo vera wang ndo kaiga.woode makshobii.

   Delete
 4. Anonymous01:28

  Bora Jacquie kasema ukweli

  ReplyDelete
 5. Anonymous01:41

  I dont know Jacky but believe you me she wore that dress and ameitendea haki kuliko Mwamvita,uyo Sheria nae aache kudanganya wateja wake mambo gani ya Aibu haya anamtia mwenzie Mwamvita

  ReplyDelete

sema tukusikie