FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

WEMA SEPETU AWA BALOZI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA GOOD HOPE ARUSHA.... ACHANGIA DOLA 1000 KUWEZESHA UPATIKANAJI WA CHAKULA KWA WATOTO HAWA.

NITAKUWA NAKUELEZA HATUA KWA HATUA.. WENYEJI WETU WALICHELEWA KIDOGO KUTUFATA.. HIVYO SWALA LILILOBAKI IKAWA NI KUPIGA PICHA ILI KUSOGEZA MUDA

PICHA ZIKAWA PICHAAAAAAA...

OUTDOOR PICTURES

MUDA UKAFIKA NA TUKAELEKEA KATIKA CHARITY CAR WASH AMBAYO ILIKUWA NA LENGO LA KUPATA FEDHA ZA KUKIHUDUMIA KITUO CHA WATOTO WA GOOD HOPE NA WEMA SEPETU NDIO ALIKUWA MGENI RASMI.

WEMA SEPETU AKIWA NA ANGEL JUSTUS NA GAUDENSIA...  PICHA ZAIDI ZINAFUATA...STILL RESIZING THEM.

5 comments:

 1. Anonymous13:04

  Wema amelala Naura Spring,,, nimeona corridor Hilo!!! Pia nimependa amevaa koti ka langu icpokua rangi!! Lol!!

  She looks stunning though,,,, I adore her!!!

  ReplyDelete
 2. Anonymous23:48

  Wema ur my beautiful onyinye, this girl is da hottest chick in Tanzania. We luv u wema

  ReplyDelete
 3. Anonymous05:27

  Keep it up!wema,I want u to prove ur haters wrong for everything bad they predict for u.me love u sana.u r the best and ma role model too.God bless u.

  ReplyDelete
 4. Anonymous11:30

  The new wema z wowwwwww

  ReplyDelete
 5. Anonymous22:22

  Jaman Martin nampenda sana wema sepetu.nataman siku moja nipate chans yakuongea nae tu.unaweza kunisaidia?

  ReplyDelete

sema tukusikie