FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

MAMBO 7 MUHIMU MBAYO MSICHANA/MWANAMKE UNAPASWA KUYAJUA KUTOKA KWA MWANAUME...

1.MWIKO: USITHUBUTU KUZUNGUMZI SIFA ZA MPENZI WAKO WA ZAMANI PINDI UNAPOINGIA KATIKA MAHUSIANO MAPYA.. HII INAMAANISHA HAUKO HAPPY NA MAHUSIANO YAKO YA SASA.. AU UNATAKA MWANAUME HUYU AKUFANYIE YALE ULIYOFANYIWA KULE ULIKOTOKA..... INAKERA SANA HII, UPO NA MIMI LAKINI MUDA WOTE UNAONGELEA HABARI ZA JUMA AU DAVID
2.KUPIKA NI MUHIMU: Kujua kupika kunakuongezea mvuto kwa yule umpendae.. restaurants, takeaways and dinner out everyday? hakuna kitu kama hicho.... mfanye mpenzi wako atamani kurudi nyumbani mapema kwakuwa chakula unachopika girlfriend wake ni kitamu kuliko chakula kingine chochote.
 3. Workout:Hakuna  mwanaume anapenda mwanamke mzembe... jitahidi kufanya mazoezi na kuhakikisha mwili wako uko katika standard.. sio wote mnauwezo wa kuingia Gym lakini jitahidi hata kukimbia kidogo uamkapo asubuhi ili kuufanya mwili wako kuwa sharp.
4.SWALA LA UENDESHAJI GARI; WANAUME HATUPENDI KUKOSOLEWA... HILI LINANIKERA MIMI BINAFSI SANA TU....

5. Dont smoke: huwa mnajidanganya kuwa ukivuta sigara utaonekana sexy na mwenye mvuto.... unajidanganya.. utaishia kuwa katika mahusiano na masharobaro na hutaweza kupata mwanaume wa maana.. wanaume tu kuvuta sigara wanajikaza... iweje wewe mwanamke uvute??
6. KUWA WAZI NA HISIA ZAKO: Namaanisha kuwa unapokuwa unahamu na mwenzi wako.. mweleze usiwe mtumwa wa mapenzi kwakuwa wewe ni mwanamke.. mbona Yeye anakueleza pale anapokuwa na hamu na wewe? kwanini wewe usimweleze?? unapokuwa na hamu na mzee mueleze
7. SHORTCUTS: Simaanishi njia ya kukatisha ila majibu ya shortcut kama "WHATEVER","Fine", "cool" and "As u Wish" hakuna mwanaume anapenda majibu kama hayo.. if u love that man why umpe majibu ya shortcut??
KUNA MENGI NILIPASWA KUKUELEZA ILA KWA LEO HAYA NDIO YA KUYAJUA.
 

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie