![]() |
| ALIPOKELEWA NA ANGEL JUSTUS NA MISS ARUSHA 2012 |
![]() |
| GAUDENCIA... MWENYEWE ALIKUWA ANAJIITA DEREVA WA WEMA SEPETU... AKIWEKA MAMBO SAWA. |
![]() |
| HAKA KATOTO KALIMPENDA SANA WEMA NA HAKAKUTAKA KUKAA NAE MBALI... WEMA U SHOULD ADOPT THIS KID. |
![]() |
| MC WA SHUGHULI HII |
![]() |
| SNURA ALIKUWEPO PIA. |
![]() |
| RISALA FUPI KUTOKA KWA MLEZI WA KITUO HIKI CHA GOOD HOPE MBELE YA MGENI RASMI WEMA SEPETU |
![]() |
| MAJIBU YA RISALA YALITOLEWA NA MGENI RASMI.. IKIWA NI KUSAIDIA KUHAKIKISHA HAWA WATOTO WANAPATA ELIMU, ALIWANUNULIA TV PAMOJA NA PESA TASLIMU ZA KIMAREKANI DOLA1000 |
![]() |
| ZILIKABIDHIWA KWA MLEZI WA WATOTO HAWA. |
![]() |
| GAUDENSIA AKITOA SHUKURANI ZAKE KWA WEMA SEPETU NA TEAM YAKE KWA KUUNGANA NAO KWANI HUYU NDIO ALIKUWA MTU WA KWANZA KUFIKA KATIKA KITUO HIKI. |
![]() |
| PENDO AMBAYE NDIE ALIYEANDAA SHUGHULI HII AKITOA MANENO YAKE MACHACHE |
![]() |
| WATOTO WAKASEMA WEMA HUWEZI KUONDOKA HAPA ARUSHA BILA KUJUA KUCHEZA DISCO MALAPAA.... |
![]() |
| SAHAU CLUB ZENU ZA MJINI HAPA NI DISCO MALAPA KWA KWENDA MBELE. |
![]() |
| CHANGAMKA..... |
![]() |
| AISEE NATAMANI KUWAPA STORI YA HAWA WATOTO ILA DAAAAH...... THEY MADE MY DAY THAT DAY. |
![]() |
| HASA HUYU... AM SURE WEMA HATAMSAHAU KATIKA MAISHA YAKE |
![]() |
| TRULY LOVE ....... SIKUJUI HUNIJUI ILA TUNAPENDANA. |
![]() |
| I SALUTE THESE LADIES........THEY ARE STRONG AND HARD WORKING. |























Mungu akubariki Sana Wema na azidi kukuinua kila utakalo fanya uzidi kubarikiwa. Nakupenda sana ww ni mrembo hasa huna mpinzani unaroho nzuri sana
ReplyDelete