FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

BE INSPIRED: VISWETA

ARE YOU INTO FASHION......?? THEN U SHOULD LEARN HOW TO DEAL WITH COLORS..... MARA NYINGI TUMEKUWA TUNANUNU SWETA AU KUVAA SWETA BILA KUJUA RANGI ZA NGUO ZETU TUNAZOZIVAA MARA NYINGI... RANGI YA SWETA INAPASWA KUENDANA NA RANGI YA MWILI WAKO NA NGUO UNAZO VAA

HAVING NEUTRAL COLORS SWEATER ZITAKUWEZESHA KUONEKANA MSAFI NA MWENYE KUVUTIA....

MIXED COLORS MARA NYINGI INAHITAJI KUWA NA SHATI AU NA TISHERT ZENYE RANGI MOJA NA IWE RANGI ILIOPOA KAMA NYEUPE.. BABY YELLOW OR GREY

 CORDINATION OF COLORS MATTERS ALOT: LOOK HOW SMART YOU STAND OUT.
MASWETA YANAONGEZA MVUTO SANA KAMA HUJUI.. NA YANAKUFANYA MWILI WAKO KUONEKANA UMEJENGEKA

KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NAKUSHAURI KUWA NA SWETA JEPESI AMBALO HALITAKUTESA KWA HILI JOTO LETU.. UNALIVAA MARA MOJA MOJA KUNOGESHA MUONEKANO WAKO.

MIMI NINALO LANGU AMBALO MARA NYINGI NALIVAA KUKIWA NA MABADILIKO MADOGO YA HALI YA HEWA. HEHHEHEEHH

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie