FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

Kris Jenner to Host her own Day time Tv Show

AKIWA NDIO YULE PRODUCER WA THE MOST VIEWED REALITY TV SHOW YA KARDASHIANS... KRIS JENNER AMEONESHA NIA YA KUJA NA KIPINDI KIPYA KABISA... HII ITAKUWA NI DAY TIME TALK SHOW YAKE MWENYEWE KAMA ILE ANAYOFANYA WENDY WILLIAMS,Twentieth Television NDIO WATU AMBAO AMEKAA NAO MEZANI KWA SASA KWA MAZUNGUMZO AMBAPO ANATEGEMEA KUANZA KURUSHA SHOW YAKE HIYO SUMMER 2013.... JE UNADHANI MAMA HUYU ATAWEZA KUPAMBANA NA MTU KAMA WENDY WILLIAMS KATIKA KUPATA VIEWERS??

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie