
Tulianza Shughuli ya bi Jamila kwa kuonja Shampagne ikiwa ni ishara ya upendo wake kwa marafiki, ndugu na jamaa...
Hii hapa keki!!

Watoto tulilishana keki!! although yangu ilikuwa ya blue, yake ilikuwa ya Pink...

First black Lady GaGa alikuwepo, na alipata kipande cha keki!!

Kamanda Elizabeth Gupta alikuwepo kushereheke Shughuli hii ya Jamilah

Candy dance ilikuwepo kumpa burudani mtoto wetu mchanga na aliungana na marafiki katika kulisaka..
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie