FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

My number One girl... making her portfolio


Making of Lilian(FOA) Portfolio
Photography: i-view Photography
Art Direction: Raqey Mohamed
Make up: rehema
Stylist: Martin Kadinda
Location: i-view studio


I did my best to make this dress look sexy and hot on her... nilibana katika paja lake la kulia na kuchana kidogo kiunoni kwake na mkono wa kulia niliubadilisha to make it hot....Ubunifu wa mustafa hassanali ulikuwepo kuhakikisha nakamilisha kazi yangu kwa usahihi


Am loving this pic because it has a story behind during photoshoot...Ni kipande cha satin mateliar ndicho nilichotumia katika kutengeneza nguo hii. unaweza kuhisi imeshonwa but nimeifunga tuu na kumfanya awe bomba zaidiIts more of Red carpet....Do You wanna have You own portfolia like this one... I-view photography is a place to get the best of it.

2 comments:

  1. Anonymous05:53

    jamani kiukweli martin uko juu kipenzi ,kazi nzuri dadaako hapa nimekuwa bonge ile mbaya usuper modo wote umekwisha jamani,hongera kwa kazi nzuri uko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ,hellen hapa

    ReplyDelete
  2. Asante dada! tunajaribu kutake this thing to another level kama itawezekana!!

    ReplyDelete

sema tukusikie